Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/sawata-mara/topic/123267/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ukiwa mzee, watu huamini kuwa huwezi tena kufanya kazi yoyote. Tofasiri rahisi ya uzee, “ni kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi”. Je, ni kweli kuwa wazee wenye Afya njema (hasa wa umri wa miaka 60 hadi 75), hawawezi kufanya kazi hata ile ya kusimamia kazi ndogo ndogo? Toa maoni yako!
(Bila tafsiri)
Hariri
Hasante sana kwa mada yako na kutoa fursa katika kuchangia mada hii ya Wazee ni kweli unavyosema sisi vijana wa sasa ni tofauti kabisa na vijana wazamani ambao sasa ni wazee kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji,ubaguzi kwa wazee utafikiri hawa wazee hakuwa vijana au sisi vijana hatutazeeka . – mimi japo ni kijana lakini nimepata mchango mkubwa sana kwa wazee mpaka nimefika hapa nilipo, ninasema wazee wanamchango mkubwa na wanafanya kazi kubwa kwa sababu wazee wanamaono...
(Bila tafsiri)
Hariri
MIRADI KWA WAZEE
(Bila tafsiri)
Hariri