| Base (English) | Français | 
|---|---|
| 
     Add More Photos  | 
    
     (Not translated)  | 
Comments
IPOKEE “MKUVI” ILI UFIKIE  MALENGO         ALLIANCE  FOR  SOCIAL  CHANGE
Ndugu  “MKUVI”  Ni kifupi cha  maneno haya;- >>Mbinu mpya ya Kupambana na Umasikini Vijijini<< MKUVI  itakufanya uwe na upeo mpana katika shughuli zako za maendeleo, binafsi na Taifa kwa ujumla. Usichelewe kuvutana na mtu au watu njoo jifunze kutoka hapo ulipo nanyi wengine jifunzeni kusonga mbele zaidi hakuna atakae kuja kukununulia mahitaji au kukutunzia familia usidanganywe jifunze mbinu ya kutoka karibuni sana, “ MKUVI”  jifunze na A.F.S.C. huduma zetu soma mwongozo hapo chini;-
Mradi  huu nikwa  wilaya Tano; 1.KILINDI. 2. MPWAPWA. 3. KONGWA. 4. KITETO. 5. KILOSA. 
  
 May 4, 2017 by AFSC 
 |