Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
Tafsiri
:
English (en)
: register
Maelekezo
Chujio:
Zote
Bila tafsiri
Zenye tafsiri
Unapproved
Approved
Maendeleo:
90 / 90
« Iliyotangulia
1
2
3
4
5
6
Ifuatayo »
Asili
English
Kama hakuna mtu katika shirika lako mwenye email, iache tupu.
If no one in your organization has an email address, leave this blank.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ingiza namba ya simu ya shirika lako:
Enter your organization's phone number:
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Ingiza namba yako ya simu ya mkononi kama unayo.
Enter your mobile phone number if you have one.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kama ukiwa na zaidi ya namba moja, zigawanye na koma.
If you have multiple phone numbers, separate them with a comma.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Bonyeza kitufe hapo chini kuumba akaunti yako.
Click the button below to create your account.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Umba akaunti
Create account
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Tafadhali ingiza jina la shirika lako.
Please enter your organization's name.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Mtu mwengine ameandikisha jina hilo la mtumiaji. Tafadhali chagua jingine.
Somebody else has already registered that username. Please choose another.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Maneno mawili ya siri uliyoingiza hayajakuwa sawa. Tafadhali jaribu kuyaingiza tena.
The two passwords you entered did not match. Please try entering them again.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Neno lako la siri si gumu kulidhani. Tafadhali chagua neno jingine la siri.
Your password is too easy to guess. Please choose a different password.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Hongera! Akaunti yako imeumbwa.
Congratulations! Your account was created successfully.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Shirika limewahi kujiandikisha?
Organization already registered?
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kama shirika lako likionyesha chini, libonyeze kufungua kwa kutumia jina lake la mtumiaji na neno la siri.
If your organization is shown below, click on it to log in using your organization's existing username and password.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Kama shirika lako halionyeshi juu, bonyeza kitufe hapo chini kuendelea na kuumba akaunti mpya kwa shirika lako.
If your organization is not shown above, click the button below to continue and create a new account for your organization.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Endelea kujiandikisha
Continue registration
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
« Iliyotangulia
1
2
3
4
5
6
Ifuatayo »