Base (Igiswayire) | English |
---|---|
M 9 Entertainment group tunajishughulisha na maigizo,vichekesho na nyimbo pia tuelimisha jamii kuhifadhi na kutunza mazingira,mapambano dhidi ya malaria na mapambano dhidi ya vvu na ukimwi,ukitaka kufanya kazi na sisi tuandikie kwa mzopola10@gmail.com au piga +255759416497 https://www.youtube.com/channel/UCVu3eLf0x1t83o4ZP3rJlwQ |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe