Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Safi sana vijana wa Mzizi........ Hongereni sana kwa hatua hii, yaonyesha ni jinsi gani ambavyo mko makini katika kutetea Haki za Afya zya Uzazi na Ujinsia kwa vijana wenzenu Sijawasahau, hata ninyi pia mwajitetea kwani mnahusika moja kwa moja......
Kila kitu chawezekana penye nia .......
Haki za AFYA YA UZAZI NA UJINSIA KWA KIJANA KUTETEWA ni muhimu kama kweli twahitaji vijana wenye kujiamini na kusimamia malengo ya maisha yao katika jamii na taifa letu kwa ujumla. LAKINI, tujiulize, nini maana ya Haki, Afya ya Uzazi na Ujinsia kabla ya kwenda popote:- HAKI Haki ni kitu ambacho mtu au watu wanaweza kukidai kisheria. Mfano, Mtu ana haki ya kuishi, itokeapo kutishiwa kutolewa uhai huo basi ana uwezo wa kumshitaki mhusika kisheria
AFYA YA UZAZI Ni hali ya mtu kuwa katika hali nzuri kimwili, kiakili na kijamii katika maswala yote yahusianayo na mfumo wa uzazi Kimwili: Hana tatizo katika viungo vya uzazi au madhara yatokanayo na matumizi mabaya ya viungo hivyo. Mfano, magonjwa ya ngono, mimba za utotoni na VVU/UKIMWI. Kiakili: Hana tatizo katika mfumo wake wa kiakili kutokana na maswala ya uzazi. Mfano, Matokeo ya matatizo ya afya ya uzazi kama kuchanganyikiwa kutokana na kuwa na msongo wa mawazo sababu ya mimba za utotoni, magonjwa ya ngono na VVU/UKIMWI hasa pale wanapotengwa na jamii kwa ujumla au kujiingiza katika utumiaji wa dawa za kulevya na uuzaji wa miili sababu ikiwa ni hizo hizo
Kijamii: Hana tatizo lakutengwa na jamii kutokana na tatizo lililoletwa na matumizi hatarishi ya viungo vya uzazi. Mfano, Kutengwa sababu ya kuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni au VVU/UKIMWI.
UJINSIA Mahusiano ya kijamii kati ya mwanaume na mwanamke au kijana na mtu mzima. Ni mahusiano yanayojengwa kutokana na utamaduni ambao umekubalika na jamii husika.
....... Siku nyingine ingekuwa vyema kama tutaweza kujadiliana juu ya Haki hizo za Afya ya Uzazi kwa vijana tukizichambua moja baada ya nyingine tukioanisha na mazingiraa yetu ya Kitanzania/kiasili.... Asante kwa nafasi....... Siku nyingine tena.....
|
Very clean young root ........ Hongereni for this step, which shows how careful you are to defend the Rights of Reproductive Health and Sexuality zya your fellow youth Sijawasahau, even as ye yourselves also mwajitetea directly involved ...... Everything is possible at the mind ....... Rights REPRODUCTIVE HEALTH AND GENDER FOR YOUTH remedy is really important as we need young people confidence to manage their life goals in the community and our nation as a whole. BUT, ask ourselves, what is the meaning of Rights, Reproductive Health and Sexuality before going anywhere: - RIGHT Truth is something that a person or persons can legally arguing. For example, one has the right to live, emergency life threatened release that it has legal capacity to sue the owner REPRODUCTIVE HEALTH It is a condition of a person to be in good physical condition, mental and social issues in all aspects of the reproductive system Physical: He has no problem in the reproductive organs or side effects and misuse of this rule. Example, sexually transmitted diseases, teenage pregnancy and HIV / AIDS. Mental: Hannah problem in his mental system for parenting issues. Example, the result of the problems of reproductive health as frustration of having stress because of teenage pregnancy, sexually transmitted diseases and HIV / AIDS, especially when they potengwa and society in general or to engage in the use of drugs and the sale of bodies Because if it is the same Social: Hannah lakutengwa and social problem due to the problem raised by the use of risky reproductive organs. Example, exclusion due to the prevalence of sexually transmitted diseases, teenage pregnancy or HIV / AIDS. GENDER Social relations between man and woman or boy and an adult. It is being built from relationships and culture that has been accepted by the community. ....... The other day it would be better if we can negotiate on the Rights of Sexual Health for young people if we made plain one after another, and we align our mazingiraa Tanzanian / nature .... Thank you for granted ....... The other day again ..... |
Ibyasobanuwe
|