Base (Igiswayire) | English |
---|---|
@Deo Makoti (Katibu): DEO ULILOSEMA NI KWELI LAKINI NAFIKIRI NJIA SAHIHI NI KUTAFUTA UFUMBUZI WA TATIZO LA USAFIRI WA WANAFUNZI HAPO MTWARA. MFANO NI VEMA WANAFUNZI NA WAZAZI WAKAJIUNGA NA SHULE ZILIZO KARIBU NA MAKAZI YAO. PILI WAZAZI WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUCHANGIA GHARAMA KAMA WALE WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO NAAMINI HAWAPATI TATIZO HILI KWA KIASI KIKUBWA. |
@ Deo coats (Secretary): WHAT YOU HAVE SAID DEO IS TRUE BUT I think the correct path is to FIND THE SOLUTION FOR TRANSPORTATION OF STUDENTS IN MTWARA. for EXAMPLE, IT IS BETTER FOR STUDENTS AND PARENTS TO joined SCHOOLS nearest their HOME. ALSO PARENTS CAN MAKE ARRANGEMENT FOR THEIR CHILDREN AS FOR THOSE cost sharing private school, I believe they Do not get this problem significantly. |
Ibyasobanuwe
|