Base (Swahili) | English |
---|---|
@NOURAT RAMADHANI (DAR ES SALAAM): Nourat tunashukuru kwa ushauri wako mzuri na ambao umekuja kwa muda wake. Tunaona jinsi uharibifu wa mazingira unavyofanya nchi hata ikose mvua kwa misimu yake ya kawaida. Lakini kama hiyo haitoshi sehemu ambazo siku za nyuma zilikuwa ardhi nzuri kwa kilimo sasa ni jangwa la kutisha .Nourat, mimi wewe na yule kwa pamoja tukilpigania hili tunaweza |
@ NOURAT Ramadan (DAR ES SALAAM): Nourat we appreciate your good advice and who has come to term. We see how the environmental damage is done even in the rainy seasons should I lack his usual. But if that's not enough places where the past was good land for farming is now a harsh desert. Nourat, me you and that together we lpigania this we can |
Translation History
|