Base (Swahili) |
English |
@John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera): NA LEOKADIA KADUMA (NJOMBE JITEGEMEE WOMEN GROUP) NI VEMA KUFAHAMU KUWA MABADILIKO YA NCHI SEHEMU KUBWA YANALETWA NA UHALIBIFU WA MAZINGIRA MFANO UKAME JOTO NA MARADHI NK. NA HII NDIYO HALI ILIYOPO SASA KATIKA TANZANIA. INATUPSA TUCHUKUE TAHADHALI MAPEMA ILI KUKABILIANA NA HALI HII YA MABAHILIKO YA NCHI. KWA HIYO NACHUKUWA NAFASI HII KULIPONGEZA SHIRIKA HILI KWA KAZI KUBWA WANAYOFANYA YA UPANDAJI WA MITI KWANI NI NJIA PEKEE YA KUHIFADHI MAZINGIRA. NA NASHAURI HATA MASHIRIA MENGINE KUIGA MFANO HUU. KWANI SOTE TUNAFAHAMU FAIDA YA MITI KUWA NI DAWA,KUNI,TUNAJENGEA,INALETA HEWA SAFI,MVUA N.K
|
@ John C. Kakolaki (Kamachumu village, Muleba - Kagera): NA LEOKADIA KADUMA (Njombe Jitegemee women GROUP) is well KNOWING THAT A LARGE PART OF THE EARTH CHANGES caused by drought UHALIBIFU EXAMPLE OF ENVIRONMENTAL HEAT AND SICKNESS, ETC. And this is the situation NOW IN TANZANIA. INATUPSA take caution in advance to counter this MABAHILIKO OF THE COUNTRY. FOR THIS POSITION THAT NACHUKUWA KULIPONGEZA WORK FOR THIS LARGE ORGANISATION FOR PLANTING OF TREES WANAYOFANYA WHO IS THE ONLY WAY OF ENVIRONMENTAL CONSERVATION. AND OTHER MIGA MASHIRIA advice EVEN THIS IMAGE. We appreciate ALL WHO BENEFITS OF TREES THAT ARE DRUGS, wood, TUNAJENGEA, brings fresh air, rain NK
|