Asili (Kiingereza) | English |
---|---|
SHIRIKA LINATOA HUDUMA ZA MSAADA NA USAIDIZI WA KISHERIA KATIKA KATA NA VIJIJI VYA KIDOKA. KAMBI YA NYASA. CHEMBA. MRIJO CHINI. ELBOLOTI. CHEKU. WAHIDA. KELEMA. MOMBOSE NA MAKORONGO AMBAPO WASAIDIZI WA KISHERIA WANAISHI MAENEO HAYO. VILE VILE, SHIRIKA LINAFANYA MIKUTANO YA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUFUNDISHA HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA MBALIMBALI ILI KUONGEZA UELEWA WA JAMII JUU YA SHERIA, WAJIBU NA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KUCHOCHEA MAENDELEO NA USTSWI WA BINADAMU |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe