Envaya

Translations: English (en): User Content: WIdTZKbSIUqhpByl3mojVafh:content

Base (English) English

SHIRIKA LILIANZISHWA MWAKA 2013, NA KUPATA USAJILI MWAKA 2014. SHIRIKA LILIANZA BAADA YA WAANZILISHI KUPATA MAFUNZO YA USAIDIZI WA KISHERIA NA KUTAKIWA KUHUDUMIA JAMII, HIVYO KWAKUZINGATIA WASHIRIKI WA MAFUNZO HAYO WALIKUWA WANATOKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA YA CHEMBA, NA KWAKUZINGATIA UMUHIMU WA KUIHUDUMIA JAMII, WASHIRIKI AMBAO IDADI YAO NI 25 WALIONA NI VYEMA KUANZISHA SHIRIKA AMBALO LITAKUWA NA TIJA KWA JAMII NA KUTUUNGANISHA WASAIDIZI WA SHERIA WOTE, ILI KUSAIDIANA KUTATUA CHANGAMOTO AMBAZO ZINAWEZA KUJITOKEZA KATIKA UTENDAJI WA SHUGHULI ZA KILA SIKU.

KWA SASA SHIRIKA LIME HUDUMIA ZAIDI YA WATU 88, NA KUSULUHISHA MIGOGORO 12 KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA YETU. CHANGAMOTO KUBWA IKIWA DHANA YA UTAWALA BORA, UWAJIBIKAJI NA UTII WA SHERIA.

MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA KISHERIA YALITOLEWA NA SHIRIKA LA WOMEN WAKE UP (WOWAP) KWA UFADHILI WA LEGAL SERVICE FASILITIES (LSF) 

 

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register