Envaya

Ubusobanuro: English (en): User Content: WIi0MNN8LLjD8oBOPkiKzpjz:content

Base (Igiswayire) English

NAFASI ZA KUJITOLEA: MSAIDIZI WA OFISI- AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE, AWE ANAJUA COMPUTER, AWE NA UWEZO WAKUINGIZA TAARIFA KATIKA TOVUTI.

MAHALA PAKAZI: KATA YA VUGA WILAYA YA LUSHOTO HALIMASHAURI YA BUMBULI MKOA WA TANGA.

MUDA WA KAZI NA SIKU ZA KAZI:JUMATATU-IJUMAA.. JUMAMOSI NUSU SIKU.. KUANZIA ASUBUHI 2:00-10:30 JIONI.KUANZIA APRIL 30/2013-APRIL 30/2014..

MALIPO: MALAZI,CHAKULA VITAKUWEPO, POSHO MAELEWANO.

MWISHO WA MAOMBI: NI TAR 10 APRIL 2013..

USAILI:  NI TAR 15 APRIL 2013.. KATIKA OFISI YA CHAMAKIVU VUGA

MAWASILIANO:  DHAHABU JUMAA- MRATIBU +255716215064/+255785810064  E-mail vugalushoto@yahoo.com.. S.L.P 112 SONI LUSHOTO TANGA.

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe