Base (Igiswayire) | English |
---|---|
OLAI pamoja na mambo mengine, tayari imekwisha kufanya savei katika Kata tatu (3) za Lienje, Luagala na Ngunja na kubaini uwapo wa maambukizi mapya ya UKIMWI kutokana na viashiria mbalimbali, ikiwemo ulevi, mmomonyoko wa maadidili. Katika utafiti huo, pia OLAI imegundua kuwa hali ya mbaambukizi hayo, yapo kwa vijana ambao wapo shuleni hasa wale wa Sekondari. Kwa vijana vipo vishawishi kama matumizi ya simu zenye (memory card) na hasa zenye picha za ngono. OLAI hujishughulisha na uhamasishaji kuhusu maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI. Ombi kwa Asasi za kiraia, viongozi wa serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali ya Kitaifa na kimataifa, kutoa ushirikiano kwa OLAI ili kuielimisha jamii kuhusu jambo hili. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe