Base (Igiswayire) | English |
---|---|
SAVE MY TALENT KUTEMBELEA MIKOA MITANO YA TANZANIA BARA Ikiongozwa na mkurugenzi mtendaji mr Alexander Lema,kutakua na ziara ya kutembelea mikoa mitano ya Tanzania bara,lengo kuu ni kuchunguza na kufanyia utafiti vipaji mbalimbali vilivyojificha katika mikoa hiyo,vipaji vitakavyochunguzwa na kuibuliwa ni vya aina zote,pamoja na muziki,mpira,uigizaji uchoraji na michezo mingine ya ajabu katika jamii ambayo mtu anaweza kuanayo kama sehemu moja ya kipaji chake, mikoa hiyo ni pamoja na KIGOMA,TABORA,SINGIDA,DODOMA NA MOROGORO,zipo taasisis mbalimbali ambazo tumeamua kushirikiana nazo,hivyo basi katika kufanikisha zoezi letu tunaomba ushirikiano wako pindi tutakapokufikia.SAVE MY TALENT,Save Tanzania youth |
SAVE MY TALENT TO VISIT FIVE REGIONS OF TANZANIA MAINLAND Led by managing director Mr Alexander Lema, There will be visiting five regions of mainland Tanzania, the main goal is to investigate and to study different aspects vilivyojificha regions, the talented vitakavyochunguzwa to be elevated are of all types, including music, football, theater painting and other games in the wonderful community that one can has as one part of his talent, regions include K Igoma, Tabora, Singida, Dodoma and Morogoro, taasisis are various ways we have to cooperate with them, thus achieving our exercise we ask your cooperation when we kapokufikia. SAVE MY Talent, Save Tanzania Youth |
Ibyasobanuwe
|