Injira

Ubusobanuro: English (en): User Content: dMilFcrvfTBuikzD2I7OqsvU:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) English
kuna utofauti mkubwa sana kati ya shule za serikali na za binafsi kiasi watu wengi hawana imani nazo hasa pale watoto wanapofanya mitihani ya kuhitimu,wazazi na walezi wanaowasomesha watoto wao kwenye shule hizi huwa wanatajia matokeo fulani tu kutoka kwa wanafunzi wanaowasomesha. mfano, shule za serikali wazazi hua na asilimia chache kwa watoto wao kufaulu au kupata ufaulu wa alama za juu ukilinganisha na shule binafsiM CHANGAMOTO:ziko nyingi lakini aina ya walimu tulionao kaika shule hizi,mazingira ya shule, vifaa vya kufundishia mishahara kwa wafanyakazi. Hivyo hufanya kupata elimu iliyoduni na hilo ndilo kundi la watu duni ndilo hupeleka watoto wao kwenye shule hizi.utaona watoto wamefaulu shule za serikali na wazazi hawawapeleki nakuwapeleka kwenye shule binafusi.
there is great diversity among the schools, public and private degree many people do not trust them, especially when children are doing exams to graduate, parents and guardians who educate their children in these schools tend to reference a certain outcome only from students who teach. example, public schools, parents dove percent less for their children succeed or get a pass to score higher than the school binafsiM CHALLENGE: are many, but the kind of teachers we have kaika these schools, the school environment, instructional materials, salaries for staff. So you do get an education iliyoduni and that's what a group of people that is so poor send their children to school hizi.utaona children are successful public schools and parents do not bring them to school nakuwapeleka binafusi.

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
28 Gashyantare, 2013
there is great diversity among the schools, public and private degree many people do not trust them, especially when children are doing exams to graduate, parents and guardians who educate their children in these schools tend to reference a certain outcome only from students who teach. example, public schools, parents dove percent less for their children succeed or get a pass to score higher than the school binafsiM CHALLENGE: are many, but the kind of teachers we have kaika these schools, the...