| Asili (Kiswahili) | English |
|---|---|
|
Katika Daraja la Kinyerezi … walau juhudi za muda kupunguza uwezekano wa daraja kuporomoka … (Tukutumai kwamba hizi ni juhudi za dharura ili kuvuta nguvu za suluhisho la kudumu … tafadhali isichukue tena miaka mingine mingi) Ni katika daraja dogo jirani na lile la Kinyerezi … Katika Daraja la Matumbi, katikati ya Buguruni na Tabata … Kiwango cha uharibifu wa mazingira kutokana na mafuta yaliyomwagika hapa wakati wa mafuriko … Ndiyo … na maisha yaliendelea … ni Ubungo … hata kama ilibidi iwe kwa mbinde na ilimpasa mtu kuwa ‘Dume’ kweli … |
In Grade Kinyerezi time ... at least, efforts to reduce the possibility of a bridge collapsed ... (Tukutumai that these are efforts to pull the emergency power of a permanent solution ... please isichukue back many years) It is in the neighborhood and the small bridge of Kinyerezi ... In Grade Tumbi, mid-Buguruni and Tabata ... Level of environmental degradation due to oil spilled during the flooding here ... Yes ... and life is Ubungo continued ... ... even if it had to be mbinde and had a 'male' really ... |
Historia ya tafsiri
|





