Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Lengo kuu la shirika langu ni kusaidia na kuelimisha vijana ambao wameathirika kwa ugonjwa wa ukimwi. Tunawasaidia kwa kutoa elimu kwa njia shirikishi, kwa sanaa za mikono na sanaa za maonyesho. Pia tunatoa elimu ya kujikinga na maambukizi dhidi ya ukimwi.Lake zone art group pia tunatoa elimu ya upambaji yani ( art decoration) kwa vijana tunao wahudumia , kwa ajili ya kupambana na umasikini ili vijana wasiokuwa ajira wapate kujiajiri wenyewe. Pia katika mradi wetu uliomalizika hivi karibuni Lake zone art group tuliweza kuwasaidia vijana wapatao kumi, wa kike watatu na wakiume saba kwa kuwapeleka katika vyuo mbalimbali kwa kuwapatia masomo.Tumewaghalamikia ada na mahitaji yote ya shule kama vifaa,mavazi n.k . Wakike tuliwapeleka katika Chuo cha mafunzo ya Ualimu Mara. Pia wakiume tuliwapeleka veta na wote wamehitimu na wanaajira. Shughuli zetu tunazifanyia katika Kata ya Pamba Wilaya Nyamagana Mkoa Mwanza. Tunawakaribisha wote mtutembelee katika Ofisi zetu zilizopo Bugando. Na tunakaribisha maoni ,ushauli n.k .
Wenu Passion P. Kemikimba
|
The main purpose of my organization is helping to educate young people who have been affected by AIDS. We help by providing education through interactive, hands and the art of theater. We also provide education on prevention against HIV infection zone mwi.Lake art group, we also offer education actively modification (art decoration) to the youth we serve, to fight poverty to youth employment might not be self-employed. Also in our project ended recently Lake zone, we can help art group of about ten youths, three female and seven males to take them in different colleges to provide masomo.Tumewaghalamikia fees and all the school needs as equipment, clothing etc.. Female, we deliver training in the College of Education immediately. They also know the men we sent them all have graduated and are unemployed. Our activities, we treat them in Cotton County District Nyamagana Mwanza Region. We welcomed all of our existing offices mtutembelee in Bugando. And we welcome your comments, Shaul etc.. Your Passion P. Kemikimba |
Translation History
|