Base (Swahili) | English |
---|---|
KEYNOTE FROM HON.DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE-PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Kwako Bwana James Lushi, Napenda kukushukuru kwa barua yako ya wazi kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na pia nachukuwa nafasi hii kukujulisha kuwa Rais anakushukuru kwa ushauri wako mzuri uliotoa katika barua yako. umechambua mambo mbalimbali kama vile umasikini na vyanzo vyake na athari zake. Vilevile umeongelea suala la vijana na matatizo yao hasa katika suala la ukosefu wa ajira. Pia anakupongeza kwa juhudi zako katika kushughulikia watoto katika mazingira magumu kwenye maeneo ya mashamba makubwa yaani Protection and Survival in Commercial Farms(CHIPS-CF). Anakutakia kila la heri na kusihi uendelee na moyo huo huo kwani ujenzi wa Taifa hili ni kazi ya Watanzania wote. Katika moja ya mapendekezo na ushauri ulioutoa kwa Rais juu ya kupambana na umasikini ni kuwa watu wapewe ardhi bora na utaalamu wa kutosha. Kama wewe ni mfuatiliaji wa shughuli za Rais, nadhani utagundua kuwa mara nyingi Rais amekuwa akisisitiza kuwa katika mambo anayoyapa kipaumbele katika utawala wake ni kilimo bora na cha kisasa, na ndiyo maana anasema kila mara kuwa Tanzania yenye neema ,na maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana.Ili mradi kila mmoja atimize wajibu wake. Tafadhali endelea kutoa ushauri na pia endelea kujenga Taifa letu la Tanzania ili kila mmoja wetu aridhike na maisha anayoishi. Ahsante sana. |
KEYNOTE FROM HON.DR.JAKAYA Mrisho Kikwete-President OF THE UNITED Republic of Tanzania: With you Lord James Lushi , kukushukuru I like your open letter to the President of the United Republic of Tanzania also . kukujulisha nachukuwa this opportunity to thank President is good for your advice you give in your letter. has explored issues such as poverty and its sources and its impact has been talking . also the issue of youth and their problems, especially in terms of unemployment . He also commended for your efforts in dealing with children in vulnerable areas plantations in the Protection and Survival Commercial Farms (IPS-CF). Anakutakia Messiah all the best and keep the same spirit as the construction of this nation is the work of all Tanzanians . In one of the suggestions and advice which hath borne by the President on the fight against poverty is that people should be given the best land and sufficient expertise .,, if you are monitoring the activities of the President, I think you will find that many times the president has been insisted that the things he yoyapa priority in his administration are the agricultural good and modern, and that is why he says every time a Tanzanian with a grace, and a better life for every Tanzanian inawezekana.Ili each project accomplish its duties . Please continue to provide advice and continue to build our nation of Tanzania, that every one of us has lived a life aridhike and . Thank you so much. |
Translation History
|