Base (Igiswayire) | English |
---|---|
forDIA ni shirika ambalo tumeshirikiana nalo mara nyingi katika kutekeleza shughuli mbalimbali tangu mwaka 2008. shughuli hizo ni pamoja na miradi ifuatayo:- 1. Utafifi juu ya mtazamo rushwa katika jamii ya Watanzania awamu ya pili 2.Utafiti juu ya mtazamo rushwa awamu ya tatu 3.Raia makini 2010 [Elimu kwa mpiga kura] n.k |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe