Base (Swahili) | English |
---|---|
Ifuatayo ni historia ya asasi iitwayoIpembe orphans children care support (IPEOCCASU) kwa mara ya kwanza kabisa mnamo mwaka wa 2004 wazo la la kuanzishwa lilitolewa na mwl Gabriel T Bee ambaye alikuwa mratibu wa elimu kata ya ipembe wakati huo Na baadae Februali 2005 ikaanzishwa rasmi ikiwa na wanachama kumi na mbili wakiwemo 1 Gabriel T Bee mwenyekiti 2 Yesaya Ramadhani katibu 3 Gregori N Manimo Mtunza hazina 4 Mwl Pauli M/Kiti msaidizi 5 Mwl Agnes Nnko Katibu Msaidizi 6 Emmanuel Nono 7 Fatuma B Yusufu 8 Daudi Msonsa 9 Chalz Kilimba 10 Grace Mwaluka 11 Mwl Yesaya Kawiche 12 Mwl Samsoni 13 Lailath Mtafa Hawa ndio wadau na waasisi wa organisation hii waasisi hawa kitaaluma ni walimu kama mjuavyo ualimu ni kazi ya wito ikilenga kumwelimisha mtoto kijamii.kimazingira .kiafya na kimwili na kiroho pia . Kikundi hiki cha IPEOCCASU Ilipofanya utafiti wa awali juu mambo yanyoshusha taaluma kiligundua kuwa tatizo kubwa lilikuwa ni utoro wa jumla na wa rejareja Mashuleni unaosababishwa na mazingira duni ya watoto hao ambao wengi wao ama ni yatima au kafiwa na mzazi wake moja ambaye anamtegemea. pia tukagundua kuwa liko wimbi kubwa la watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi na ndipo tukaanzisha asasi hii yenye lengo la kuwasaidia tulitengeneza mfuko wa kuwasaidia ambao kila mwanachama kwa hiari aliuchagia tsh 2000/- kutoka katika mshahara wake wa kila mwezi na pia kuwatafutia misaada nje na ndani ya nchi na kwa kutoa mafunzo kwa jamii ili iweze kujua ni kwa namna gani wataondokana na janga hii la watoto wa mitaani na walio katika mazingira hatarishi pamoja na kundi lile ambalo kwa njia moja au nyingine ama wameathirika au wameathiriwa na VVU |
Below is the history of the organization iitwayoIpembe Orphans children care support (I PEOCCASU) for the first time ever in 2004 the idea of the introduction was made by Gabriel T Mwl Bee, who was the coordinator of education at the same ward ipembe And later Februali 2005 ikaanzishwa formally with members twelve including a Gabriel T Bee chair 2 Isaiah Ramadhani secretary 3 Gregory N Manimo Treasurer 4 Mwl Pauli M / Seat assistant 5 Mwl Agnes Nnko Secretary Assistant 6 Emmanuel mono seven Fatuma B Joseph 8 David Chalz Kilimba Msonsa 9 10 11 Mwl Isaiah Grace Aluka Mwl Kawiche 12 Samson 13 Lailath you do what They are partners and founders of this organization are the founders of these professional teachers even as teachers are working to educate the child calls targeting kijamii.kimazingira. And physical and spiritual health as well. This group of IPEOCCASU Ilipofanya previous research on academic matters yanyoshusha They found that the biggest problem was the absence of wholesale and retail Schools caused by poor conditions of those children most of whom are either orphans or kafiwa and one parent who is expecting. We also found that there is a huge wave of orphans and vulnerable high-risk and then we started this organization aimed at helping us create a fund to help every member who voluntarily had uchagia Tsh 2000 / - from his salary every month and also seek support outside and inside the country and to provide training to communities in order to determine how they will overcome the tragedy is the street children and those in vulnerable with that group, which in one way or another have either been affected or are affected by HIV |
Translation History
|