Asili (Kiswahili) |
English |
Vuta ni kuvute katika mchakato mzima wa mechi kati ya timu ya taifa ya Chad na Taifa Stars ya Tanzania ambayo imefanikuwa kuibanjua timu hiyo ya chad nyumbani kwao kwa idadi ya mabao 2-1 Taifa Stars ndio ilioanza kuona lango la timu ya chad mnao dakika ya 11 katika kipindi cha awali.
Mrisho Ngassa bila ya kufanya ajizi na kutundika mpira wavuni, bao hilo halikuwa la kudumu kwenye dakika chache tu timu ya chad ilifanikiwa kutua drow dakika ya 13, hadi kipindi cha kwanza mpambano ulikuwa 1-1 ndani ya jijini N’Djamena.
Kipindi cha pili Taifa stars ilingia na staili yake ya kushambulia mwanzo hadi mwisho pale walipofanya mabadiliko ya muingiza mchezaji hatari wa Stars Bakari Hamadi alieingia dakika ya 70 na dakika ya 80 akawapiga kiboro cha pili, hadi mpira kumaliza Taifa Stars watoka mikono juu kwa ushindi wa bao 2-1 ndani ya jiji la N’Djamena Nchini Chad.
|
Vacuum is carbon in the process of matches between national teams of Chad and the Taifa Stars of Tanzania which imefanikuwa kuibanjua team of Chad home to a number of 2-1 Stars National ilioanza see the gate of the team of Chad you have 11 minutes in the first period.
Mrisho Ngassa inert and do not hang ball net, a goal that was not fixed in just a few minutes succeeded in landing a team of Chad Kudrow 13 minutes, until the first collision was 1-1 in the city N'Djamena.
The second National stars entered and deserves his attacks start to finish when they make changes to admit a player risks the Stars Bakari Hamadi was eingia minute 70 and minute 80 he beat Boro a second, until the ball end Taifa Stars come out hands on to win the scoring 2-1 in the city of N'Djamena in Chad.
|