Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WI000839FA5E15B000077347:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) English

4.jpg
Miss Tanzania 2011, Salha Israel, amefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya taji la Urembo wenye malengo maalum (Beauty with Purpose) yaliyofanyika juzi nchini Uingereza.

Akizungumza na Sufianimafoto Reporter kwa njia ya simu kutoka London jana, Salha alisema kuwa katika taji hilo, mrembo huyo aliwasilisha kazi yake ya Jamii aliyoifanya kwenye hospitali ya Muhimbili ambako alisaidia watoto wenye matatizo ambao wanazaliwa chini ya mwezi moja.
Salha alisema kuwa katika shindano hilo, Salha aliwakilisha DVD inayonyesha jinsi gani alivyomsaidia mtoto aliyezaliwa kwenye hospitali hiyo huku akiwa na kidonda kikubwa mgongoni.

“Haikuwa kazi rahisi kwa majaji wa shindano hilo kuona ninavyofanya kazi ya kumsaidia mtoto huyo, ni kazi ambayo imewafanya waikubali kwani ipo katika majukumu ya Kamati ya Miss World mbali ya shindano lenyewe la urembo,” alisema Salha kwa njia ya simu.

01.jpgAlisema kuwa amefarijika kuingia katika hatua hiyo ya 16 bora katika shindano hilo ambalo lilishirikisha jumla ya warembo 122 kutoka nchi mbali mbali.
“Ninachokisubiri sasa ni fainali ya taji hili ambapo mshindi ataingia moja kwa moja katika hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ambayo itashirikisha si chini ya warembo 20,” alisema.

Kuhusiana na mashindano, Salha alisema kuwa mashindano ni magumu ukilinganisha na mashindano ya Miss Tanzania kutokana na mambo makubwa moja.

Alisema kuwa sababu hiyo ni idadi ya washiriki ambao ni wengi ukilinganisha na warembo 30 wanaoshiriki Miss Tanzania na vile vile wapo bora zaidi kulinganisha na mashindano ya kitaifa.

“Ninawaomba Watanzania ni waniombee ili niweze kufanya vyema katika mashindano, ni magumu kwa kweli,” alisema.

Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim "Uncle" Lundenga alimpongeza Salha kwa hatua hiyo na kusema japo anakabiliwa na kibarua kikubwa ili aweze kufanya vyema.

"Ni matokeo mazuri, lakini kazi bado ni kubwa, tunatakiwa kumwombea ili aweze kufanya vyema zaidi," alisema Lundenga.

4.jpg
Miss Tanzania 2011, Salha Israel has managed to enter the semi-finals of the crown of beauty with specific goals (Beauty with Purpose) held recently in the UK.

Speaking to Sufianimafoto Reporter by telephone from London yesterday, said that Salha in the title, he presents a beautiful job he did on Social Muhimbili hospital, where she helps children with problems who are born under the new one.
Salha said that in the competition, Salha represented DVD which shows how much he vyomsaidia child born in hospital with a large wound on his back.

"It was not easy for the judges of the competition to see my work on helping the child, a work which has made ​​is accepted as the responsibility of the Committee from the Miss World contest of beauty itself," said Salha by phone.

01.jpg He had been pleased to enter into this stage of the 16 best in the competition which lilishirikisha total of 122 beauty queens from different countries.
"Ninachokisubiri now this title is final where the winner will be entered automatically in the semi-finals of the tournament, which will involve no less than 20 beauty queens," he said.

With regard to race, Salha said that the competition is harder than Miss Tanzania competition from much the same.

He said that because it is the number of participants who are more than 30 beauty queens who participated Miss Tanzania as well as there are much better compared to the national tournament.

"I ask Tanzanians are waniombee so I can do well in competitions, it is really difficult," he said.

Director of the International Agency LINO, Hashim "Uncle" had congratulated Salha Lundenga of the measure, saying he faced and casual, though large in order to do well.

"It's good results, but work is still great, we should pray for him so he could do better," said Lundenga.

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

Google Translate
10 Novemba, 2011
(image) Miss Tanzania 2011, Salha Israel has managed to...