| Asili (Kiswahili) | English |
|---|---|
|
Washiriki wakijadiliana nje ya ukumbi wakijadiliana juu ya taarifa zilizowasilishwa kwenye mdahalo huu wakihusianisha na taarifa za wanasiasa ambazo huzitoa wakati wa kampeni na vikao mbalimbali vya kisiasa. |
Participants negotiators out of court if they discussed about the information presented in this debate if they link to reports that politicians offer them during the campaign and various political forums. |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|
