| Asili (Kiswahili) | English |
|---|---|
|
TEYODEN yashiriki kwenye mkutano wa wadau Morogoro Hivi karibuni ulifanyika mkutano wa awadu nwa maendeleo ya vijana pale mjini Morogor wakiupitia mkataba wa vijana wa Afrika na mkakati wa ushiriki na ushikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii. Katika mkutano huo jumla ya washiriki 30 kutoka asasi za vijana na wawakilishi kutoka wizara za maendeleo ya jamii,jinsia na watto,wizara ya kilimo na wizara ya elimu na mafunzo walihudhuria mkutano huo. Wadau waliupitia mkataba huo na kutoa mapendekezo ya kuuboresha ili uweze kuendana na mahitaji ya vijana wa kitanzania na mkakati huo pia. |
TEYODEN participate in a meeting of stakeholders in Morogoro Recently held a meeting of youth development awadu NWA Morogor been through there in agreement with the African youth strategy and ushikishwaji participation of youth in social activities. During the meeting a total of 30 participants from youth organizations and representatives from the ministries of social development, gender and watto, Ministry of Agriculture and Ministry of Education and Training attended the conference. Stakeholders through the agreement and make recommendations for improvement in order to cope with the needs of young Tanzanian and strategy as well. |
Historia ya tafsiri
|
