Mkuu wa chuo cha Mipango Dodoma-Constantine Lifurilo amezungumza na wanachuo wapya wapatao 2400 akielezea matarajio makubwa katika kusambaa kwa taaluma ya mipango katika ngazi mbalimbali za jamii. Akizungumza kwenye baraza hilo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, amesema kada ya mipango itaendelea kulaumiwa ikiwa watalaamu wake watashindwa kukidhi matarajio ya wananchi kwakuwa nafasi zao zinaweza kupoteza mwelekeo wa jamii ikiwa watatumia vibaya nafasi hizo kwakuwa program zote za maendeleo duniani kote zinahusisha watalaamu wa maendeleo katika kuandaa misingi ya kupanga,kuweka mwelekeo na hatimaye katika kutekeleza. Kwa upande wake Mkurugenzi msaidizi wa Chuo anayeshughulikia -Mafunzo Profesa Innocent Zilihona amesema, chuo hakitawavumilia watu watakaobadili chuo hicho kuwa chuo cha sanaa, kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha kwani kufanya hivyo kutakuwa ni kudhalilisha fani ya mipango ambayo kwa sehemu kubwa chuo hicho ndicho kilichopewa jukumu na taifa kuandaa wataalamu na viongozi wa baadaye. Amesema ni vyema wanachuo wakatambua kuwa chuo hicho kina "core values" zake ambazo zimewekwa kutokana na dhima ambayo serikali imekipa chuo hicho kuandaa viongozi, hivyo kuruhusu watu kuachia miili yao nje ni kupoteza misingi ambayo imekijenga na kukikuza chuo hadi kufikia hatua ya kupokea wanachuo 2400 na kwamba ili kuona kuwa misingi haipotoshwi, kitahakikisha wasiyofuata maadili wanarejea kwao. Naye Mkurugenzi Msaidizi katika eneo la Utawala na Fedha Tibelio Mdendemi amesema, ni vyema fulsa ya mafunzo ya vitendo na nadharia inayotolewa na chuo ikatumiwa vyema na wanachuo katika kujiandaa kutumikia taifa kwani, ni aibu kwa wao kushindwa kutekeleza majukumu yao wawapo kazini wakati chuo kimewezesha maandalizi yao kwa kiwango cha juu. Ametaja kuwa miongoni mwa changamoto za sasa kwa vyuo vingi nchini ni kutoa wahitimu ambao tabia zao, mwenendo na madaraka wanayoenda kushika havifanana hali ambayo amesema, kwa chuo cha mipango kitahakikisha kinalisimamia suala hilo na kuhakikisha kinatoa wataalamu bora na wenye nidhamu na kuthamini majukumu wanayoyatumikia.  | Baadhi ya wanachuo waliohudhulia Baraza la kwanza jana katika ukumbi wa Nyerere |
 | Msajiri wa wanafunzi Katikati bwana Titus Mwageni pamoja na lecturers wengine wa chuo hicho |
 | Maprofesa na Madaktari wa wahadhiri wa chuo cha Mipango wakifuatilia kwa makini taarifa na hotuba zilizotolewa jana |
 | Mkurugenzi wa Chuo cha Mipango Constantine Lifurilo kushoto akiwa na msaidizi wake katika masuala ya Utawala na Fedha Tiberio Mdendemi |
 | Rais wa serikali ya wanafunzi Bwana Haule akizungumza kwenye Mkutano huo |
 | Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Tiberio Mdendemi akizungumza katika baraza hilo ambapo alieleza wazi kuwa chuo cha Mipango ni tofauti sana na vyuo vingine, hivyo masuala ya mavazi na udhadhifu ni sehemu muhimu ya mafunzo kwa wanachuo wake kwakuwa wanaandaliwa kuwa viongozi! |
 | Mkurugenzi wa Chuo cha Mipango Dodoma- Constantine Lifurilo akizungumza na wanachuo wa kozi za astashahada, stashahada, shahada na stashahada ya uzamili katika mipango ya mazingira, Maendeleo vijijini, Mikoa, Idadi ya watu, Miradi ,Utawala bora na maendeleo endelevu pamoja na Uwekezaji |
 | Taa haiwekwi uvunguni ili kumilika bali huwekwa juu " ni maneno ya Profesa Innocent Zilihona Makamu Mkuu wa chuo cha Mipango eneo la Mafunzo akizungumza na wanachuo |
 | Serikali ya wanachuo wa chuo cha Mipango Dodoma |
 | Rais wa serikali ya wanafunzi |
 | Mdendemi " wanaoachia nywele ovyo ovyo kama wendawazimu hapa hatuwahitaji, masuala ya kuvalia suruali makalioni hapa kwishineaaa!!!! |
 | Profesa Katega wa kwanza kushoto akifuatilia mjadala pamoja na wahadhiri madaktari wanaoongoza idara mbalimbali chuoni hapo |
 | Darasa la POST GRADUATE wakiwa katika majadiliano |
 | Kiti kinachoonyesha mamlaka ya chuo cha Mipango Dodoma ambacho hukaliwa na Mkuu wa chuo, Mwenyekiti wa Bodi ama kiongozi anayealikwa kufanya jukumu fulani kwaniaba ya Bodi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. |
|
General Programs College-Dodoma Lifurilo Constantine has spoken with about 2400 new students explaining expectations in the spread of education programs at various levels of society. Speaking to the council in the Hall of Mwalimu Nyerere, said a cadre of programs will be blamed if appeared as an expert shall fail to meet the expectations of citizens because their positions can lose sight of the community if they abused these positions for that program all of the developed world involves appeared as an expert on development in developing principles of planning, setting direction and finally in play. For his part the Director Assistant of the University Focal-Learning Professor Innocent Zilihona he said, college kitawavumilia people who changed the university was a college art, due to wear non-respect for doing so will be a humiliating discipline of planning, which to a large university is kilichopewa and national responsibility to prepare professionals and future leaders. He said it is important to college and realized that the university has "core values" of which have been due to the role that government imekipa university preparing leaders, thus allowing people to leave their bodies out is losing grounds that imekijenga and kukikuza book to stage to receive the college in 2400 and that in order to see that the fundamentals do not ipotoshwi, will ensure they are returned to them following values. And the Assistant Director in the area of Administration and Finance Tibelio Mdendemi has said, it is advisable fulsa of practical training and theory offered by the college ikatumiwa well with college students in preparation to serve the nation as it is a shame for their failure to perform their present job during college has been facilitating the preparation of their a higher level. Ametaja be among the current challenges for colleges pluralism in Kenya is to provide graduates who their character, conduct and responsibilities are yoenda keep the identical situation in which he said, the college plans will ensure kinalisimamia issue and make sure it sounds professional ideal and the discipline and appreciation of the duties they yoyatumikia. | Some college students who first hudhulia Council yesterday in the hall of Nyerere |
| Registration of students master Titus Mwageni center with the rest of the university lecturers |
| Professors and lecturers of the College of Physicians of careful planning and following reports and speeches made yesterday |
| Director of College Planning Lifurilo Constantine left with his assistant in the affairs of the Administration and Finance Tiberius Mdendemi |
| President of the student government Haule speaking at conference |
| Director of Finance and Administration Tiberius Mdendemi speaking to the council which clearly stated that the college plans are very different from other colleges, so the issues of dress and udhadhifu an integral part of training for his students because they are prepared to be leaders! |
| Director of College Planning Dodoma-Constantine Lifurilo speaking to college students astashahada of courses, diploma, degree and postgraduate diploma in environmental planning, rural development, Regions, Population, Projects, Governance and Sustainable Development and Investment |
| Iwekwi lamp under a bed to kumilika but placed on "are the words of Professor Innocent Zilihona Senior Vice College Training Programs area speaking to college students |
| The government of the university's College of Planning Dodoma |
| President of student government |
| Mdendemi "who let the hair disposal disposal like mad here we need, the issues of wearing pants makalioni here... |
|