Injira

Ubusobanuro: English (en): User Content: dM0005238E44E0B000107742:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) English

           
KATIKA jamii linapotokea janga lolote, Waathirika wakubwa ni Wanawake na Watoto.

Tumeshuhudia wakati wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka jana kwenye kambi nyingi za Waathirika wa mafuriko hayo tumeshuhudia makundi makubwa ya Watoto, Wanawake na Wazee wachache wakihitaji msaada wa hali na mali ili kuhakikisha wanarejea kwenye maisha yao ya awali.

Serikali kwa upande wake ilijitolea kutekeleza wajibu wa kuhakikisha waliojenga mabondeni hawarejei tena hata baada ya mvua kuisha. Ilijitoa kwa kila hali ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Wahanga hao wanahifadhiwa katika maeneo salama kwa muda huo kabla ya kuhamishiwa katika maeneo yatakayokuwa makazi yao ya kudumu ya Mabwe Pande.

Wakati Serikali ikitekeleza jukumu lake hilo, Vyama vya Hiari visivyo vya Kiserikali navyo vilichukua nafasi zao ikiwa ni pamoja na kuwafariji na kutoa kiasi kidogo walivyokuwa navyo kwa ajili ya kuthamini utu wa ndugu zetu hao.

Miongoni mwa Ngo,s hizo ni ya African Youth and Orphan Relief and Progressive Organisation kwa kifupi AYORPO iliyo na makazi yake Wilaya ya Ilala Kata ya Tabata Mtaa wa Tabata Jijini Dar es Salaam. Mbali na kujitolea kwa vitu vidogo vilivyo katika uwezo wao ilifika mbali na kutaka kujua madhara wanayokumbana nayo watu hao walio katika makazi mapya.

 Ikumbukwe kuwa kulikuwa na familia zenye watoto wanaosoma katika shule za karibu na mazingira yao yaliyoathiriwa, wapo waliokuwa wakifanya kazi katika maeneo ya karibu na hawakuhitaji kutumia nauli kwenda Ofisini kabla ya mafuriko hayo na sasa fursa hiyo haipo tena.

 Hawapati huduma zile walizozizoea mwanzo, licha ya kuwa ni faraja kwao kwa Serikali kuwahakikishia kupata viwanja na misaada mingine; hali kwao imekuwa ni tafrani, kupata vifaa vyao vya awali vilivyoenda na mafuriko k.m. vitu vyote vya jikoni, samani video, fridge na wengine ofisi yote kama ya Stationery nakadhalika.

Katika kuonyesha umoja wa Kitaifa Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikaonyesha viwanja vilivyopimwa na baadhi yaTasisi zikaanza  ujenzi wa Mahema kwa viwango vya Kimataifa ambayo wanaweza kuishi watu watano hadi sita.

Wakizungumzia maisha ya makazi mapya wakazi waliohamishiwa Mabwe Pande wanasema ni jukumu lao kuhakikisha maeneo hayo yanakuwa salamana yenye kufikika kwa urahisi kwa kujenga nyumba bora (Satelite City).

Kauli ya Wakazi hao inaenda sambamba na kauli ya Rais Jakaya Kikwete pale aliposema “Kwa kufanya hivyo hawatajuta kwenda kuishi huko tena watajiuliza walikuwa wapi siku zote watajiona wamechelewa,” alisema Rais Kikwete.

Kwa nyakati tofauti, baadhi ya Waathirika wa mafuriko hayo waliopatiwa makazi eneo hilo wamewashukuru Watanzania kwa moyo wao wa kujitolea licha ya wao wenyewe kukabiliwa na changamoto mbali mbali za kimaisha.

“Tunaishi sehemu nzuri angalau sio sawa na kule kambini, tatizo la huku - vyakula bei ghali, kwa wengi waliokuwa wanatumia soko kuu la Kariakoo na watoto wetu wanatembea mwendo mrefu kufika shule wanazosoma, na wa kwenda kazini kupata nauli ya kuunganisha magari mara mbili; ni shida kwa kweli (hasa wengi tulizoea kutembea kwa miguu).  “Vyoo vizuri visafi, mahema bora ukilala unajistiri sio sawa na kwenye kambi za Shule tulikokuwa mwanzoni - hakukuwa na faragha,” anasema Mama Hassan.

Ingawaje Serikali imejitoa katika kuwasaidia Wahanga kwa kuwapatia eneo la kuishi, lakini bado kuna changamoto ambazo Wadau tunahitajika kuzikabili kama vile kuna watoto waliopoteza wenzi wao hivyo familia nyingi zikiwa katika hali ya sintofahamu ingawaje wamepewa maeneo ya kuishi.

AYORPO ni moja ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali ambayo yameguswa kwa njia moja ama nyingine na janga hili lililowapata Watanzania wenzetu wakiwemo yatima, watoto, wasiojiweza pamoja na wajane. Kutokana na wahitaji kuwa wengi, tunachukua fursa hii sisi kama AYORPO kuomba Wahisani, Mashirika ya Ki-taifa hata Ki-mataifa kuendeleza misaada yao ya hali na mali na pia kutuwezesha na sisi ili kufanikisha lengo la kuwasaidia Wahanga kwa mapana zaidi, Mungu awabariki


Disaster occurs in any society, older victims are women and children.

We have seen during the floods that happened in Dar es Salaam late last year on many camping victims of the floods we have seen large groups of children, women and minority elders they need to help the situation and assets to ensure they return to their previous lives.

Government for its part vowed to enforce the obligation to ensure that built the valleys will not return again until after the rains end. Pulled in every state as well as ensuring the victims are kept in safe places before transferred time and which will be in permanent displacement of gravel around.

When implementing the Government's role, Voluntary Associations had fallen tragically non-governmental organizations have their place, including comfort and provide a small amount they had appreciation for the dignity of our brothers.

Among the Ngo, s these are the African Youth and Orphan Relief and Progressive Organisation AYORPO briefly with his residence in Ilala District, County of Street Tabata Tabata in Dar es Salaam. In addition to volunteer for small items that are in their ability and came away wanting to know the side effects encountered people who are in new homes.

It should be noted that there were families with children studying in schools affected by their environment, there are some who have been working in areas near and did not need to use transport to go to Office before the floods and now that opportunity is gone.

Do not get services that were familiar beginning, despite being a comfort to them by the government to assure access parks and other support, while their has been a trouble, get their equipment original vilivyoenda flooding eg all items of kitchen furniture, video, fridge and other offices all such The Stationery etcetera.

In a show of national unity Government, through the Head Office in Dar es Salaam, ikaonyesha plots yaTasisi vilivyopimwa and some began construction of tents for international standards to which they can live five to six people.

Wakizungumzia life of residents who have moved to new homes gravel parties say it is their responsibility to ensure these areas becomes easily accessible salamana which to build better houses (satellite City).

Statement of the residents is closely linked to the statement of President Jakaya Kikwete when he said "By doing so they will not regret going to live there again they were wondering where they always feel they are late," said President Kikwete.

At different times, some of those flood victims who lodged the area Tanzanians have thanked them for their dedication to their own despite facing various challenges of life.

"We live a good portion at least not the same as in the camp, the problem of this - food expensive for many who have spent a major market Kariakoo and our children walk long distances to school to read, and go to work to get the fare of connecting cars twice, is problem really (especially many we used to walk on foot). "Good clean toilets, tents sleep better if you protect not the same as the grouping of schools we are associated with the beginning - there was no privacy," says Mother Hassan.

Although the government withdrew its support victims by providing an area of ​​life, but there are still challenges that stakeholders we need to overcome if such there are children who lost their spouses so many families are in situations of controversy even though they have given places to live.

AYORPO is one of the NGOs which yameguswa one way or another by this tragedy lililowapata fellow Tanzanians, including orphans, children, disabled and widows. Due to the most needy, we take this opportunity to ask us if AYORPO Donors, Civil Ki-Ki-nation to nations developing their state aid and property and to enable us to us to achieve the goal of helping victims more broadly, God bless


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
10 Mata, 2012
Disaster occurs in any society, older victims are women and children. – We have seen during the floods that happened in Dar es Salaam late last year on many camping victims of the floods we have seen large groups of children, women and minority elders they need to help the situation and assets to ensure they return to their previous lives. ...