Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
UVIKITWE GROUP, kupitia ufadhili wa The Foundation For Civil Society, imefanikiwa kutekeleza mradi wa uelimishajirika kwa vijana kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. Mradi huu umetekalezwa katika wilaya ya Bagamoyo ndani ya kata sita ambazo ni Vigwaza,Chalinze,Ubena,Msata,Miono na Kiwangwa. Mradi huu umeweza kuwafikia vijana tisini (90) wanaotumia na wasiotumia dawa za kulevya. Mafanikio ya mradi
Changamoto tulizokutana nazo.
Picha za baadhi ya vijana wa kata za mradi waliohudhuria mafunzo ya elimurika kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. |
UVIKITWE GROUP, through sponsorship of The Foundation For Civil Society, successfully implement a project for young people about the effects of drug use and its relationship with HIV / AIDS. This project has been implimented in Bagamoyo district into six wards, which are Vigwaza, Chalinze, Ubena, Msata, Miono and Kiwangwa. This project has been able to reach young ninety (90) who use and do not use drugs. The success of the project
Encounted challenges.
Photos of some young people who attended the project counties elimurika studies on the effect of drug use and its relationship with HIV / AIDS. |
Historia ya tafsiri
|