Base (Swahili) |
English |
Katika kata ya Makuburi Wilaya ya kinondoni mafuriko yaliharibu nyumba za wakazi zaidi ya 261.Kusema ukweli hali ilikuwa mbaya sana.Tulishuhudia watu wengi wakibebwa na maji hasa mateja ambao wengi walikuwa wanaishi mitoni wakivuta madawa ya kulevya pia walikuwa wakijaribu kuokoa au kuchukua mali mbalimbali zilizokuwa zikibebwa na maji.Maji yaliingia hadi ndani ya nyumba nyingi kiasi kuwa vitu vyote vilikuwa vikielea na maji na kuharibika kabisa.Leo wakazi wengi wanaishi maisha ya taabu kwani hakuna anayewajali ni ahadi tu ambazo hazijatekelezwa hadi kesho.Watoto wengi hawaendi shule kwani bado hali ni ngumu sana kwa wazazi wengi na wengine wamehama kabisa maeneo yao kwani hakuna kitu na kutokana na ratiba ya makazi kuharibika wengi wanaishi mahali ambapo shule waliyokuwa wanasoma ziko mbali sana na wanapoishi hivi sasa.Haki ya watoto ya kusoma imekuwa ni kama hazifuatwi tena. akina mama ambao wengi walikuwa wajasiriamali wameacha shughuli zao kwani nyingi zilibebwa na maji mfano wale walikuwa wanapika vitumbua maandazi mihogo samaki n.k hawana tena mitaji na vyombo vimezolewa na maji. Nilikutana na Case ya shangazi yangu ambaye anaishi pale Jangwani ambaye baada ya maji kujaa na kuondoka alikimbilia kwa mwanae Mbagala.Sasa anasema anapata sana taabu kwa vile inabidi kila kitu lazima aombe.Yeye ameshakuwa mtu mzima hajiwezi tena japo ana nguvu lakini kutokana na mafuriko haya anasema hawezi tena kurudi na kuendelea na shughuli zake za kila siku.Anasema kwa nini serikali isitafute njia mbadala ndio pamoja na wao kuhama lakini bado tatizo halijatatuliwa. Kwa nini wasiihamishe njia ya maji kama wengine wanavyofanya yaani nchi zingine wanavyoweza kubadilisha matumizi mbalimbali kwa kutumia nyenzo mbalimbali.Pia Deo naye anapendekeza kuwa serikali inatakiwa kutafuta Mbinu mbadala badala ya kuwahamisha wananchi wanatakiwa kutumia miundo mbinu ya kisasa ili kufanya maeneo hayo yaliyoathiriwa na mafuriko kutumika tena bila athari yoyote. Maeneo mbalimbali ya Barabara yameharibika sana mfano kuna daraja liko hapa External ambalo linaunganisha barabara ya Ubungo Mandela,Ubungo Maziwa na barabara ya Kigogo ambalo ni nyezo kubwa sana ya mawasiliano na ktokana na mafuriko Daraja hilo limemeguka kiasi kuwa wakati wowote linaweza kudidimia na kuwaaacha wakazi wake wakiwa katika hali ngumu.Lakini pia kuna daraja linginelinaunganisha barabara inayotokea Tabata TIOT na kuingia Kigogo hadi Mburahati karibu na shule ya Gozage na kanisa katoliki liko katika hali mbaya sana na lina wakazi wengi sana wanalolitegemea na ni njia ya rahisi sana kuunganisha kigogo,Mabibo na Tabata lakini sasa liko katika hali mbaya sana.Pia kuna barabara ya Kisukuru ambayo inaunganisha wakazi wanaotokea Ubungo na Tabata hadi Makoka iko katika hali mbaya sana imebaharibika vibaya sana na imebakia kidogo sana kuachane na wakazi wengi watapata shida sana hasa wale wa Tabata Kimanga Kisukuru na Makoka. Hivi sasa wakazi wengi hawapati maji huku katika eneo lote la Mabibo Makuburi na Tabata kwa sababu miundo mbinu ya kuleta maji imeharibiwa sana mabomba yamezolewa na mafuriko na wakazi wanauziwa maji kwa bei ya juu sana kuanzia Tsh 300 kwa ndoo na kuendelea. Leo hapa katika Serikali ya mtaa wa Mwongozo waliandamana na kumwendea mwenyekiti wa serikali ya mitaa na ndoo zao kichwani walikuwa akina mama wengi sana na ndoo kila mtu zaidi ya kumi kumi wakimtaka awapatie maji.Mwenyekiti alikuwa na hali ngumu sana na ilibidi awasiliane na viongozi mbalimbali wa Dawasa na kuwaelezea hali halisi iliyopo ofisini kwake.Magari mengi sana yanapita kuuza maji na kujipatia hela kibao kwa waathirika hawa wasiokuwa na kitu na kutokana na hali zao ndio maana waliona vema kuandamana. Pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanywa na viongozi hawa wa kata hii ya Makuburi kwa kwenda kwenye ofisi za Dawasa zilizopo Tabata na kuahidiwa kusaidiwa lakini bado hali imeendelea kuwa ngumu na huenda ikawa magonjwa mbalimbali yakajitokeza kwani hakuna maji salama na masafi ya kutumia.

Hapa ni Ofisi ya Africa Upendo Group.Hawa ni baadhi ya Vijana ambao ni nguvu kazi ya Asasi hii wakipanga mikakati ya jinsi ya kuboresha Mipango mbalimbali waliyojiwekea hasa baada ya zoezi zima la Kutembelea wahanga wa Mafuriko.Hapa Mwenyekiti wa Asasi hii ndugu Neatness Msemo akijaribu kusisitiza jambo na vijana wakijaribu kutafakari.Aliyeketi mbele ya meza ni Kijana David.Huyu kijana kwa wale ambao wanafuatilia mambo alikuwa ni Spika wa Bunge la wanafunzi.Kulia kwake mwenyekiti ni Kijana Frank Malaki ambaye naye kwa pamoja na vijana wengine wanakuja na Kipindi ambacho kitarushwa hivi karibuni cha ' Balozi ' na Kijana Deogratius Nyusso ambaye ndiye Training Manager anayeratibu shughuli zote za Ofisi na Asasi kwa ujumla.Ukifika hapa ofisini na kuwaona vijana hawa hutasita kuwasikiliza.Karibuni sana.
|
In the county of Makuburi Kinondoni District floods destroyed houses a population of over 261.Kusema fact the situation was worse sana.Tulishuhudia many people carried by water, especially customers, most of whom were living rivers towing drugs also were trying to save or to take different were zikibebwa and maji.Maji entered into the house so that many things had it lying by the water and damaged kabisa.Leo many residents live lives of misery because no one cared about it only promises that are not implemented until kesho.Watoto many do not attend school because the situation is still very difficult Many parents and others have completely migrated their sites as there is nothing to due to scheduling many live in impaired homes where schools that they studied are located far away from where they live so sasa.Haki the children to read has it as not followed anymore. Many mothers who were entrepreneurs have stopped their operations because many had to be carried by the water model were revealed himself pastry cooked cassava fish etc. have no more capital and vimezolewa and water containers. I met and the Case of my aunt who lives at the Wilderness, which after water filled the leave he ran to his son Mbagala.Sasa says it gets much trouble as we have everything necessary aombe.Yeye had had an adult can no longer even though he has power but due to flooding this says can not again return to continue his pursuit of all I .Anasema why government isitafute alternatives and they are moving but the problem still not solved. Why not ihamishe through the water as others do that other countries can convert various applications using material mbalimbali.Pia Deo and he suggested that government should seek alternative methods instead of driving citizens to use the infrastructure of modern to make those areas affected by flooding to be used again without any effect. Different areas of the ruined roads for example there is this bridge which binds External Ubungo Mandela Road, Ubungo Kigogo Milk and road materials which are very large communication and bridge the flood ktokana limemeguka much that whenever kuwaaacha may decline and their populations in there too ngumu.Lakini linginelinaunganisha road bridge that appears and enter Tabata TIOT Kigogo to Mburahati near Gozage school and the Catholic Church is in serious condition and has many residents are lolitegemea and is very easy to connect through trunks, Mabibo and Tabata but now lies in critical condition there sana.Pia people praise thee road which links residents who come to escape Ubungo and Tabata is in very bad condition imebaharibika very badly and very little has remained divided and many residents will suffer greatly, especially those of Tabata Kimanga people praise thee, and saved. Currently, most residents do not get water while in the area, and Tabata Mabibo Makuburi because the infrastructure to bring water pipes yamezolewa very damaged and flooded with ocean water to the population of very high prices from Tsh 300 per bucket and continue. Today here at Government Street Guide adhering to go to the chairman of the streets with buckets of their head were many mothers and bucket every person over ten urging him awapatie maji.Mwenyekiti had a very difficult situation and had contact with leaders of different DAWASA to describe the situation kwake.Magari office much beyond selling water to get across the board for these victims who have something and due to their situation is because they feel good marching. Despite various efforts made by these leaders of this county Makuburi into the existing DAWASA offices Tabata and promised support but still has remained a difficult situation and may be different diseases yakajitokeza since no water safe and clean to use. 
Here are the cons love Group.Hawa Office are some youngsters who are strong functions of this organization been planning strategies for how to improve the range of existing programs, especially after the exercise of the victims of Mafuriko.Hapa Visiting Chairman of this organization phrase Neatness brother was trying to emphasize matter to young people trying kutafakari.Aliyeketi before the table is David.Huyu young boy for those who follow what he was Speaker of the Parliament of the funzi.Kulia its chairman is Frank Young and Malachi, who together with other young people to come and that kitarushwa recent period The 'Ambassador' and young Deogratis Nyusso who is Training Manager, who organized all the activities of the Office and Civil ujumla.Ukifika here in the office and see these young people are six very kuwasikiliza.Karibuni.
|