Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Tunawezaje kuifahamisha/kuielimisha kuhusu tatizo lililojificha/lililofichama, kuhusu udhalilishaji wa Kijinsia kwa wasichana a) Tutatumia njia gani ili kutabua na kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana ndani ya jamii zetu? b)Je kuna mifano ipo katika jamii inayokuzunguka kuhusu tatizo hili kwa wasichana? c) Je tatizo hili hutokea kwa sura gani? Tafadhali changia mada hii ili utusaidie Jean-media katika project yetu mpya ya kujaribu kutatua matatizao ya ukiukwaji wa HAKI ZA BINAADAMU katika jamii yetu. Tumeona tushauriane na wadau wenzetu wanaotumia envaya, wakati huo huo tukifwatilia habari hizi katika maeneo ya Mtwara Vijijini |
How can we promote awareness of the widespread but often hiden problem of sexual abuse of young girls within our community a)How can we identify ways to address sexual abuse of girls in our communties. b) Can you give us any examples of such probelms if at all they happen around you. c)How does this problem often happen in your community Please contribute to this discussion so you can help Jean-media's research for our new project to try and identify and solve problems of HUMAN RIGHTS ABUSE in our community We would like to discuss this with our fellow envaya users, while we conduct research in Mtwara rural areas. We thank you |
Historia ya tafsiri
|