Injira

Ubusobanuro: English (en): User Content: WI0006D9D447B0B000077350:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) English

lima+na+chiza.JPG

KULIA NI MENEJA WA KAMPUNI YA LIMA MR.NZUNDA AKIWA ANATOA MAELEKEZO KWA NAIBU WA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA INJINIA CHRISTOPHER CHIZA HIVI KARIBUNI. (Picha na maktaba ya www.kalulunga.blogspot.com)

KITENDAWILI kilichokuwepo kati ya Halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, kampuni ya lima na kikundi cha wakulima wanaojishughulisha na ununuzi wa kahawa mbichi wilayani, kimeteguliwa na Wizara ya kilimo, chakula na ushirika.

Wizara hiyo imetegua Kitendawili hicho kwa kuipa leseni ya kununua kahawa kavu na mbichi kampuni ya Lima tofauti na matarajio ya kikundi cha Mviwata kilichokuwa kikionekana kutetea maslahi ya wakulima wilayani Mbozi na kutetewa na Halmashauri hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo, Meneja wa kampuni hiyo ya Lima Tingson Nzunda, huku akionesha leseni hiyo, amesema kuwa kampuni yake imeamua kuweka wazi leseni hiyo ili kuwaondoa hofu wananchi waliokuwa wakitishwa na Halmashauri ya Mbozi kuwa hawapaswi kuuza kahawa mbichi kwa kampuni hiyo.

Nzunda amesema kumetokea wizi wa mapato ya Serikali unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara kupitia kwa kile wanachokiita kuunda vikundi ambavyo hapo awali vilikubalika na Serikali ili kuwarahisishia wakulima kukusanya mazao yao na kupeleka kwenye makampuni ya ununuzi.

Amesema wajanja hao wametumia mwanya huo kuiibia Serikali kwa kuanza kununua kahawa mbichi kwa wakulima kisha kuiuza katika masoko ya ndani na nje ya nchi tofauti na Msingi halali wa uanzishwaji wa vikundi hivyo.

Aidha amesema kuwa umefika wakati kwa Serikali ili kutoendelea kupoteza mapato yake kutokana na ununuzi wa kahawa mkoani Mbeya unaofanywa na vikundi hivyo, ni muhimu vikundi hivyo vikasajiliwa kama kampuni ili vilipe kodi kwasababu havikusanyi kahawa hiyo kwa wakulima bali hununua kama makampuni yaliyosajiliwa na kulipa kodi ikiwemo kampuni ya Lima.

Kampuni hiyo ya Lima inajishughulisha na ununuzi wa Kahawa mbichi, kukoboa na kusindika kisha kuuza katika soko la ndani ya nchi ambalo lipo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na nje ya nchi.
Hata hivyo msimamo wa halmashauri ya wilaya ya MBOZI upo pale pale kwamba hakuna mtu atakayenunua kahawa mbichi licha ya leseni hiyo kutolewa katika mazingira yenye utata.
Halmashauri imesisitiza katika kikao chake cha mwishoni mwa mwezi September kuwa hakuna mtu atakayenunua kahawa cheri kwalengo la kulinda maslahi ya wananchi na pia kusimamia mapato ya halmashauri ambayo yamekuwa yakivuja kupitia mfumo wa kuuza kahawa cheri.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Ambakisye alieleza katika kikao hicho kuwa wanaruhu wananchi kuchukua hatua zozote ikiwa makampuni yatakaidi hatua hiyo na kwamba hatua ya kununua kahawa cheri inalenga kudidimiza uzalishaji wa kahawa wilayani humo kwakuwa bei ambao wakulima wanalipwa ni ya unyonyaji.


lima+na+chiza.JPG

MANAGER OF THE COMPANY right lima gives MR.NZUNDA being DEPUTY OF INSTRUCTIONS FOR THE MINISTRY OF AGRICULTURE FOOD AND FELLOWSHIP engineer Christopher Iza SOON. (Photo by Library of www.kalulunga.blogspot.com)

Kilichokuwepo paradox between Mbozi District Council of Mbeya region, the company grew to a group of farmers involved in the procurement of raw coffee district, kimeteguliwa and Ministry of agriculture, food and fellowship.

Ministry imetegua paradox that gives license to buy a dry and fresh coffee company Lima different expectations MVIWATA group was seen defending the interests of farmers Mbozi district and defended by the Council.

Speaking to the reporters in his office today, Manager of the company's Lima Tingson Nzunda, as he explained the license it, he said that his company has decided to open a license in order to remove the fear people who were threatened by the Council of Mbozi that they do not sell green beans to the company .

Nzunda said theft happens the tax revenue by some businessmen through what they call create groups that previously vilikubalika by the Government to make it easy for farmers to collect their produce and send to companies purchasing.

He said they have used clever loophole that cheating the government to start buying green coffee farmers and then sells in the domestic markets and exported to different countries and legal basis for the establishment of groups.

Also he said that it is about time for the Government to stop the loss of revenue due to purchase of coffee in Mbeya by groups, are important groups vikasajiliwa as a company to pay taxes because no one who collects the coffee farmers, but are bought as companies registered to pay taxes, including company of Lima.

The Lima Company deals with the purchase of raw coffee, processed kukoboa and then sell in the domestic market of the country which lies in Moshi Kilimanjaro region and abroad.
However, the position of the district council Mbozi there is that no one will buy green beans despite the release of licenses in controversial circumstances.
Council has emphasized in his meeting in late September that no one will buy coffee Cheri kwalengo to protect the interests of citizens and also manage earnings yakivuja councils that have been through the system of selling coffee Cheri.
Chairman of the council's Ambakisye described in the session that allowed people to take any actions if companies yatakaidi the action and that action is to buy coffee Cheri aims to reduce the production of coffee district because the prices that farmers are paid is exploitation.


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
10 Ugushyingo, 2011
(image) ...