Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WI00075BF89B13B000086517:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiingereza) English
_DSC8553.JPG
Baadhi ya mamia ya wajiriwa na wajasirimali wa kampuni ya ABA Home Health Care wakiwa katika tamasha la sherehe za mwisho wa mwaka zilizofanyika jana jumamosi Dec 3,2011 katika jimbo la Maryland ndani ya ukumbi wa Martin Luther King Jr Hwy Suile mitaa ya Lanham MD Nchini Marekani

_DSC8602.JPG
Wafanyakazi kutoka Baadhi ya maoffice mbali mbali yakiwemo Washington Dc, Baltimore, na Virginia walifurika jana jumamosi katika tamasha hilo la wafanyakazi pamoja na wajasirimali wakijipongeza katika sherehe hizo zilofana ndani ya Ukimbi wa Martin Luther King Jr Maryland.

_DSC8570.JPG
Siku zote katika maisha ya mwanadamu kuna kujipongeza baada ya kuchapa kazi kuazia January hadi December indivyo ilivyo baadhi ya wachapakazi wakijipongeza katika sherehe hizo, (Mwanzo kushoto) Mselem Omar, Mashaka Bilali, Mzee Bingo mwisho kulia akiwa na rafiki yake ubavuni kushoto

_DSC8585.JPG_DSC8586.JPG
Baadhi ya warembo akiwembo Mariam Ngalau (kulia) waliohudhuria ndani ya tamasha hilo adhimu kwa ajili ya kuwapongeza wachapa kazi wa kila siku

_DSC8680.JPG
Meza zlipendeza watu walipendeza na kujipongeza katika sherehe za mwisho wa mwaka zilizofanyika jana usiku wa kumkia leo Jumapili Dec 4, 2011

_DSC8609.JPG
Baadhi ya wasichana warembo wakipata flash ya pamoja kutoka kwa mpiga picha wetu

_DSC8596.JPG_DSC8574.JPG
Anko Eliud Mbowe ( Picha Kulia kwako) akiwa na Mselem Omar Jana wote walipendeza na kushehereke burudani hizo zilizoandaliwa na Kampuni ya ABA Home Health Care

_DSC8615.JPG
Anko Eliud Mbowe akipata kinywaji cha soda baridi baada ya machovu ya mwaka mzima

_DSC8707.JPG
Baadha ya warembo wachapa kazi waKitanzania wanaoishi jijini hapa akiwembo Catherine Mukami aliesimama ( kulia) akifatiwa na Sarah, (k.a.k) Piace Kachuchu, Digna, pamoja na Britte, wakipata flash ya pamoja na mwana blog wetu wa hapa Maryland.

_DSC8658.JPG
Dada Safia akiwa na mjasiri mwenziwe dada Piace Kachuchu katika burudani za kujipongeza na December ya mwisho wa mwaka.

_DSC8722.JPG
Mrembo Juicyteefa akipata picha ya mapozi ndani ya ukumbi wa Martin Luther King Jr Hwy Suile mitaa ya Lanham MD Nchini Marekani

_DSC8703.JPG
Katika sherehe na burudani hizo pia Mzee Goergea Fahmi Sebo pamoja na mdhamin wake wapendo walikuwepo na kujipongeza katika tamasha hilo la waajiriwa wa Home Health Care Holiday Party

_DSC8671.JPG
Mrembo wetu wa leo Catherine Mukami

_DSC8648.JPG_DSC8650.JPG _DSC8714.JPG
Baada ya pongezi za Tamasha la Waajiriwa wa Home Health Care Holiday Party ya Mwisho wa Mwaka baadhi ya warembo walijimwaga uwanjani kwa kuburudika na burudani za midundo ya kinyumbani. zilizofanyika


COPY AND PASTE KUTOKA SWAHILI VILLA
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe