 | Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (shoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mh William Lukuvi (kulia) na kaimu Katibu wa Bunge wakipanga mikakati ya kufanikisha shughuli hii ya msiba katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma kufuatia ajali ambayo alipata | Mbunge mteule kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mussa Khamis Silima, alipata ajali juzi katika eneo la Nzuguni, Dodoma, ambapo mkewe, Mwanaheri fahari, alifariki dunia na yeye na dereva wake kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya Muhimbili kwa matibabu zaidi
Mwili wa mke wa Mbunge Mussa Khamis Silima, Hayati Mwanaheri, ukiombewa dua na Wabunge n waombolezaji wengine baada ya kuwasili katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa mjini Dodoma leo kuswaliwa kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi. Marehemu alifariki Jumapili jioni kwa ajali ya gari katika eneo la Nzuguni, nje kidogo ya mji wa Dodoma Mwili wa Marehemu ukiingizwa msikitini kuswaliwa kabla ya safari Gari la mafuta lililohusika katika ajali hiyo ambapo mfanyakazi wake anaonesha mahali ambapo gari dogo lililokuwa na marehemu na mumewe kugonga wakati likitaka kupita Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo akimweleza mbunge wa Mafia, Mh Shah, kilichotokea Mbunge wa Mafia Mh. Shah akiliangalia gari dogo la Mh. Silima lilivyoharibika baada ya ajali hiyo
 | Baadhi ya wabunge wakiwa chumba cha maiti cha hospitali ya Dodoma kusubiri kuchukua mwili wa marehemu |
Dereva Chezani Sebunga aliyekuwa akiendesha gari la Mbunge, Mussa Khamis Silima na kupata ajali eneo la Nzuguni, Dodoma , akiwa katika machela akiingizwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo asubuhi, akitokea mkoani Dodoma. Mke wa Mbunge Silima, Mwanaheri Fahari alifariki dunia katika ajali hiyo. Mbunge mteule kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mussa Khamis Silima, ambaye alipata ajali juzi katika eneo la Nzuguni, Dodoma, akiwa katika machela baada ya kushushwa kwenye gari jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, akitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, alikoletwa na ndege kutoka Dodoma. Mke wake, Mwanaheri Fahari alifariki na dereva wao Chezani Sebunga alijeruhiwa kwenye ajali hiyo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
|
| Minister for East African Cooperation, Hon Samuel Sitta (left), Minister of State, Office of the Prime Minister Hon William Lukuvi (right) and acting Clerk of the House were planning strategies to achieve this process of mourning in the hospital region Dodoma following the accident which had received | MP-elect from the House of Representatives in Zanzibar, Khamis Mussa Silima, he had an accident yesterday in the area of Nzuguni, Dodoma, where his wife, proud Mwanaheri died and he and his driver badly injured and kukimbizwa Muhimbili Hospital for further treatment The body of the wife of MP Khamis Mussa Silima late Mwanaheri, you prayed for a petition to Parliament n other professional mourners after arriving in the Great Friday Mosque in Dodoma today kuswaliwa before taken to Zanzibar for a funeral. Late Sunday evening, died in a car accident in Nzuguni area, outskirts of Dodoma The body of late been brought before the mosque kuswaliwa trip Car oil lililohusika accident where a worker in his shows where the deceased was a small car and hit her while demanding too One eyewitness of the accident he told a Mafia member, Hon Shah, happened Mafia MP Hon. Shah was observed a small car, Hon. Silima lilivyoharibika after accident | Some lawmakers in the room of a hospital corpse of Dodoma wait to take the body of the deceased |
Table Sebunga driver who was driving the MP, Khamis Mussa Silima the accident area Nzuguni, Dodoma, in the hammock was admitted to Muhimbili National Hospital this morning, he appeared in Dodoma. Wife of MP Silima, Mwanaheri Proud died in the accident. MP-elect from the House of Representatives in Zanzibar, Mussa Khamis Silima, who had an accident yesterday in the area of Nzuguni, Dodoma, in the hammock after a fall on the car yesterday at the National Hospital Muhimbili, he appeared Airport International Dar es Salaam, he koletwa the bird from Dodoma. His wife, Mwanaheri glory died and their driver was injured in the table Sebunga accident. For more pictures click here
|