Log in

Translations: English (en): User Content: WI0001FB4A605E6000022236:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Asasi imeanzishwa mwaka 2010 kwa kuwakusanya wananchi wa rika tofauti, walemavu na wasokuwa walemavu ili wafanye mazowezi ya pamoja kila siku asubuhi na jioni. Mahala wanapokusanyika ni maeneo ya Ngazi miaMjini Unguja. Kitambinoma kimekuwa sasa kwa kupata wanachama mengi kwa kipindi hiki kifupi kipatacho miaka miwili. Kinajumla ya wanachama wasopungua 120 kama ilivyohakikiwa wakati wa Bonanza ya mwaka 2012. Kitambinoma hivi sasa kinafanya mazowezi kila siku ya jumamosi na jumapili katika uwanja wa skuli ya Stone Town iliyopo Mnara wa Mbao. Hii inatokana na kuponafasi kubwa ya uwanja katika shule hiyo pamoja na kuboreshwa mfumo wa kufanyisha mazowezi kutumia vyombo vya muziki

Organization established in 2010 to gather people of different ages, disabled and handicapped to make mazowezi wasokuwa together every morning and evening. Mahala are assembled are areas of Unguja miaMjini Level


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
May 27, 2011
Organization established in 2010 to gather people of different ages, disabled and handicapped to make mazowezi wasokuwa together every morning and evening. Mahala are assembled are areas of Unguja miaMjini Level
This translation refers to an older version of the source text.