Asili (Kiswahili) |
English |
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo katika nchi yetu ya Tanzania,lakini baadhi ya wananchi wengine wanaonesha kuridhika kuwepo kwa Ugonjwa huu eti kwasababu ya kupatikana kwa tiba ya miti shamba kama ambavyo babu Mchungaji Ambilikile wa Loliondo anavyotibu kwa Kikombe.Kuridhika kwao hudiriki kusema sasa ugonjwa huu umepata dawa ya kutibu.Ninachopenda kueleza kwa wenzangu ni kwamba tusiache kuchukua tahadhari kwa kisingizio kwamba Dawa imepatikana.Ushauri. Kwa waratibu wote wa UKIMWI wa wilaya Tanzania, Je,Mnaonaje kama kila mwezi kutoa taarifa ya hali ya maambukizi mapya na hali ya Ukimwi na kuweka kwenye mbao za matangazo ili watu waone hali ilivyo kuhusu Ugonjwa huu wa UKIMWI?
|
AIDS is still a problem in our country of Tanzania, but some of the other citizens who expressed satisfaction the existence of this disease simply because of available treatment herbs as grandfather Pastor Ambilikile of Loliondo is vyotibu for Kikombe.Kuridhika them the time to say now this disease you get medicine for me is kutibu.Ninachopenda explain that neglecting to take precautions with the excuse that the drugs found. Advice. For all coordinators in the district of AIDS in Tanzania, Can Think like every month to report the status of new infections and AIDS situation and put on notice boards so that people see the situation regarding this disease of AIDS?
|