Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Mojawapo ya mikutano ya mdahalo iliyoendeshwa na shirika la KIOO katika Halmashauri ya wililaya ya Kigoma kujadiliana juu ya changamoto juu ya upangaji wa mipango ambao umeperekea matumizi mapaya ya rasilimali za umma hasa fedha. Mfano Katika kijiji cha Ilagala barabara iendayo sambala haikutengenezwa kabisa licha ya kuoneshwa kwenye taarifa kuwa imetengenezwa. |
One of the meetings of the debate conducted by the organization of GLASS in Kigoma wililaya Council discuss the challenge of planning that has perekea papaya utilization of public resources, especially money. Example On the road to the village of Ilagala ikutengenezwa sambala not completely shown in the report, despite being made. |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|