Envaya

Translations: English (en): User Content: WI0008FD7857CA3000096296:content

Base (Swahili) English

ted-williams-LAPD

Aisee daaah..yani kama ipo ipo tuu…Jamaa ombaomba alikua barabarani anaomba mara ripota wa Columbus Dispatch akawa anapita na gari yake mara akamuita omba omba huyo kwenye gari…Ombaomba alijua anaenda kupewa hela kumbe jamaa anamuita amzingue,akamwambia hebu aongee kitu kusifia kituo cha redio ambayo ripota huyo alikua anafnaya kazi…

Basi jamaa akaongea kama alivoambiwa huku wanam-shoot…Palepale maisha yake ndipo yalipobadilika..maana wale maripota waliipenda sauti yake,kesho yake wakaweka video youtube ambapo ina almost viewers milioni 18 na laki sita…then jamaa akala shavu na wakamchukua na sasa hivi ni radio presenter na anakula mashavu kibao ya matangazo na sauti yake ndiyo iliyomtoa kutoka kwenye Uomba Omba mpaka Hollywood..HEBU Cheki video hizi mbili ambazo zinaonesha TED akiwa ombaomba na sasa hivi ambapo ni star mkubwa,getting paid na ana apartment yake living katika maisha mazuri…

Haya na sasa hivii cheki alivyobadilika na anapoishi na kashapata DEMU…hahahah dah watu wako fastaaa!!! mtu hajali background ya mtu ilimradi saivi jamaa ana mkwanja watu poa tu..Life kwanza!mapenzi baadae sana!

Hiyo ndiyo USA….in one minute maisha yako yanaweza kubadilika….!!

ted-williams-LAPD

Hello daaah .. charm as there is only ... Relatives beggars he grew up the road is praying time reporter for the Columbus Dispatch was passing by her car immediately, and call him begging him to the car ... Beggars he knows he is going to be around but the family she calls amzingue and said let us speak anything boast center radio reporter that he was growing up she fnaya work ...

So the family he spoke as he voambiwa with Panam-shoot ... where his life then yalipobadilika .. For those reporters they liked his voice, the next day they put video youtube which has Almost Viewers 18 million and hundred thousand six ... then the families and ate the cheek and they took, and now is the radio presenter and eats cheeks hit the ads and his voice is iliyomtoa from begging to Hollywood .. Just Check these two videos that show ted at this moment where the beggars and a great star, getting paid and it has Apartment Living in a good life ...

Come and check hivii now he adapt and live with kashapata girlfriend ... not hahah fastaaa Dah your people! man does not care about the background of one family has provided saivi mkwanja only cool people .. Life first! will much later!

That is the USA .... in one minute can change your life ....!


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
February 29, 2012
(image) – (image) – Hello daaah .. charm as there is only ... Relatives beggars he grew up the road is praying time reporter for the Columbus Dispatch was passing by her car immediately, and call him begging him to the car ... Beggars he knows he is going to be around but the family she calls amzingue and said let...