Base (Swahili) |
English |
MIRADI YA SHIRIKA:
Shirika letu linayo miradi midogo midogo mitatu:
- Afya ya Jamii:
- Mradi huu ni wa kuhudumia wagonjwa walioathirika na ukonjwa wa ukimwi
- Pia tunatoa elimu rika
- Tuna elimisha jamii juu ya mpango wa uzazi na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi
- Kutoa misaada ya hali na mali kwa watoto walio katika mazingira magumu ili waweze kupata mahitaji ya elimu ya msingi kama vile kalamu, daftari na mavazi.
- Mradi wa ushonaji:
- Mradi huu unatoa mafunzo ya ushonaji kwa wasichana waliokatika mazingira magumu ili baadaye waweze kujiajiri wenyewe.
- Mradi huu umefikisha muda wa mwaka mmoja sasa.
- Mradi wa kujenga uchumi:
- Mradi huu unalenga kuwajengea akina mama wanachama wa TWG mbinu za kujikimu kimaisha.
- Mradi huu unaendeshwa kwa michango ya wanachama ya kila mwezi
|
PROJECTS OF ORGANIZATION: Our organization contains harmful micro-three projects: - Community Health:
- This project is to cater for patients affected by AIDS ukonjwa
- Also we offer peer education
- We educate the community about family planning and how to prevent HIV
- State aid and property of children in difficult circumstances to get the needs of basic education such as pens, books and clothing.
- Project tailoring:
- This project provides training in tailoring for girls who are vulnerable to later be able to self-employed themselves.
- This project has delivered a year now.
- Project to build the economy:
- This project aims to build women members of the TWG livelihood strategies.
- This project is run by donations of members of each month
|