Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
katiba ni jambo zuri na la busara kwa wana AZAKI kulisimamia na kuhakikisha kila raia ndani ya mkoa wa Lindi au out of the region ikiwezekana anafahamu mapunguvu ya katiba iliyopo na ni nini hasa kinatakiwa kuwepo katika katiba mpya, na sio kupelekwa na upepo wa interest binafsi ya mtu, kikundi au chama cha siasa. nafahamu mazingira ya Lindi hasa vijijini watu hawashiriki katika uamuzi wa mambo mbalimbali yanayo wahusu, so ni changamoto kwa wana AZAKI kuhakikisha watu wanakusanyika na kuweza kuelimishwa kuhusu katiba. |
constitution is a good thing and necessary to have CSOs head and make sure every citizen in the region of Lindi or out of the region possibly knows degenerative constitution ahead and what exactly should be in the new constitution, and not taken by the wind of Interest private person, group or political party. I know exactly the environment of Lindi Rural people do not participate in decisions which pertain to different things, so it is challenging for NGOs to ensure people have gathered and to be educated about the Constitution. |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|