Base (Igiswayire) | English |
---|---|
picha hiyo hapo juu ndivyo ambavyo tunategemea kufungua kituo chetu ambacho kinajulikana kama ICT4TD(Tanzanian Development)Learning Cetre. Unavyoona hapo hiyo ni Computer Lab na screen zinakuwa kumi kumi lakini computer inakuwa moja tu kwa kila kumi.Pia unaweza kuwa na yenye uwezo wa tano au nane.Tunaziita Userful Multiplier.Huwa zinafaa sana shuleni n.k na ni rahisi kutumia pia ni cost effective kwani zina uwezo wa kupunguza matumizi kwa 80%.unakuwa na station zako kumi kumi na katika kila usb hub unaweza kuchomeka keyboard,mouse,flash pia ukasikiliza muziki bila kuelewa kuwa unashare na wenzako kwani tunaweza kukuwekea na kukufundisha na pia kuwa msimamizi wako kwani tunatumia software za open source na sio Microsoft lakini pia tunaweza kukuchanganyia zote.ukitumia Ubuntu au Edubuntu yaani Linux una uhakika wa kuwa mbali na virus. Userful Desktop TM replaces the Discover Station brand. Userful’s “complete solution” including Userful MultiplierTMand Userful ManagerTM. One simple install includes the operating system, 40 applications, and the ultimate in security. Userful MultiplierTM (UMx) replaces the Desktop Multiplier brand. Userful’s software that turns 1 computer into 10. Karibu ujionee maajabu.Tunafungua kituo hiki mwezi huu wa nne baada ya Pasaka. |
The above picture is that we expect to open our facility has become known as ICT4TD (Tanzanian Development) Learning Cetre. ,, As you can see there is a Computer Lab and the screen becomes ten but it is only one computer for every kumi.Pia you can have a capacity of five or nane.Tunaziita Userful Multiplier.Huwa appropriate school etc. and is very easy to use also is cost Effective because they are capable of reducing consumption by 80%. you have a station of your ten and in every USB Hub you can stick on keyboard, mouse, flash also listen music without understanding that you share with your colleagues as we can put to teach and also have your supervisor because we use software of open source and not Microsoft, but also we can kukuchanganyia zote.ukitumia Ubuntu or the Edubuntu Linux is assured of being distant and viruses. ,, Userful Desktop replaces the Discover Station TM brand. ,, Userful's "complete solution" including MultiplierTMand Userful Userful ManagerTM. Simple Install One includes the operating system, ,, 40 applications, and the ultimate in security. ,, Userful MultiplierTM (UMx) replaces the Desktop multiplier brand. ,, Userful's software that turns 1 computer into 10. ,, Welcome ujionee maajabu.Tunafungua this facility is the fourth month after Easter. |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|