Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

T.M.L.O huigiza kama chombo cha mawasilianobaina ya watu wanyonge,wasiojiweza katika jamii na ofisi,idaraa au hata serekali  ili kuwasaidia kuweza kufanikiwa katika mambo yao ambayo unyoge au kutokujiweza  unge wafanya kutofanikiwa.Tafadhali tunaomba UWAPATIE watu wa namna hii mawasiliano yetu ili tuweze kuwasaidia.Shukrani!  Kwa sasa tuko Dar tu.

February 26, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.