T.M.L.O huigiza kama chombo cha mawasilianobaina ya watu wanyonge,wasiojiweza katika jamii na ofisi,idaraa au hata serekali ili kuwasaidia kuweza kufanikiwa katika mambo yao ambayo unyoge au kutokujiweza unge wafanya kutofanikiwa.Tafadhali tunaomba UWAPATIE watu wa namna hii mawasiliano yetu ili tuweze kuwasaidia.Shukrani! Kwa sasa tuko Dar tu.
26 Gashyantare, 2012