Parts of this page have been translated from (unknown language) to English. View original · Edit translations
Uvunaji wa maji ni muhimu kutokana na eneo la kisarawe/Kijiji cha Masanganya kutokuwa na mito
Comments (1)
Mipango madhubuti ni muhimu ili kuweza kufanikisha kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua shambani
uvunaji wa maji ya mvua unaweza fanyika katika sehemu mbalimbali ndani ya shamba, ili kuweza kuwa na Bank za kutosha za maji shambani
Ufugaji wa kuku wa kienyeji unatija sana katika mashamba madogo ya wakulima, kama inavyoonekana katika shamba la Maranye
Utafiti wa uvunaji wa majihuanzia katika tafiti za jinsi ya kutega na kuvuna maji ya mvua, ni muhimu sana kijua yatoka wapi na wapi utyatategwa.
Bank za maji zinahitajika sana shambani ili kuweza kuwa na akiba ya kutosha ya maji ya mvua kwa kilimo na mifugo