Injira
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

OMBI KWA WADAU WA ELIMU KUJITOLEA CHOCHOTE KWA AJILI YA KUWAHAMASISHA WANAFUNZI WANAOFANYA VIZURI

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA (chato )
1 Mutarama, 2016 at 18:40 EAT

Tunapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki zetu wote kote nchini kuonesha upendo kwa vijana wetu wanaofanya vizuri kwa kuwazawadia chochote kwani kufanya hivyo kunaongeza hamasa miongoni mwao. Wanafunzi wanhitaji kutambuliwa ili waendelee kusoma kwa bidii. Unaweza kupitisha mchango au zawadi yako katika shirika letu nasi tutaufikisha kama ulivyo na utapata taarifa za mchango wako punde tunapopokea na kuufikisha mchango huo. 

BENEDICT BAGENI MWASOKWA

MWENYEKITI MTENDAJI

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba:

0757918700 au 0674827760


Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro