TEMOA inawatakia waislam wote sikukuu njema ya eid na mwenyezi mungu awajaze rehema na upendo daima. Ujumbe: Mpatie mtoto elimu bora ili amjue mwenyezi mungu kwa haki na kweli. Elimu ni chanzo cha maarifa.
18 Julai, 2015
![]() | Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOAKyela, Tanzania |