
MWENYEKITI AKIMTIA MOYO KIJANA BUCHUFU ALIYEFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA TATU KWA KUPATA GPA YA 5.0 MWENYEKITI PIA ALIMZAWADIA DAFTARI TATU NA KALAMU MBILI ZA WINO

MWENYEKITI AKIMTIA MOYO NJILE MWANAFUNZI WA KIKE ANAYEFANYA VIZURI KIDATO CHA KWANZA SUMAYE

MWENYEKITI AKIFUATILIA ORODHA YA MATOKEO YA WANAFUNZI WANAOSTAHILI KUPONGEZWA KWA KUFANTA VIZURI SUMAYE, KUSHOTO NI MWALIMU MWANDAMIZI TAALUMA WA SHULE HIYO






