MWALIMU OMARY AKIWABURUDISHA WATOTO WALIOFANYA VIZURI KWA BIGIJII KUTOKA TEMOA
MAKAMU MKUU WA SHULE AKIHUTUBIA WANAFUNZI SIKU YA KUFUNGA SHULE KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO NA KUGAWA ZAWADI KUTOKA TEMOA
WANAFUNZI HAWA WALIFAULU MTIHANI WA KUFUNGA MWAKA KIDATO CHA KWANZA KWA GPA YA 5.0. TEMOA ILIWATAMBUA NA KUWAZAWADIA
MWALIMU OMARY MOHAMED AKIMSAIDIA MWENYEKITI WA TEMOA KUGAWA VIBURUDISHO (BABLISH) KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KABLA HAWAJAPOKEA ZAWADI YA DAFTARI