je mchakato wa kuwapata wajumbe wa mabaraza ya katiba unakwenda sawia, au kuna njia za udanganyifu zinatumika kuwapata wajumbe hao.
tukumbuke katiba ndiyo maisha ya leo, kesho na siku zijazo, tuliopata nafasi tukawajibike kwa ajili ya wananchi waliotutuma na si vinginevyo