Fungua
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch

Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch

Mtwara, Tanzania

Kuimarisha na kuboresha shughuli za Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima ili kuhakikisha kwamba Sekta Binafsi inachangia kikamilifu na inakuwa chachu ya Maendeleo ya wananchi mmoja mmoja na Taifa kiujumla.

Mabadiliko Mapya
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch imetoa FCS Narrative Report.
3 Aprili, 2012
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch imeongeza Habari.
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture (TCCIA) - Tawi la Mkoa wa Mtwara tumeanza utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Jamii katika kufanya Ufuatiliaji wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Umma (PETS) kupitia Mipango ya Kuendeleza Kilimo Wilayani (DADPs) na Mipango Shirikishi Jamii ya Kilimo na Mifugo (PADEP) ambayo ni... Soma zaidi
4 Machi, 2012
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture - Mtwara Branch imejiunga na Envaya.
3 Machi, 2012
Sekta
Sehemu