Envaya

large.jpg

13 Novemba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) alisema:
Wanawake na watanzania kwa ujumla tushikamane kutokomeza ndoa na mimba za utotoni ambazo hupelekea wasichana kujiingiza katika biashara ya ngono ,hatimaye kupata maabukizi ya ukimwi na kukosa mwelekeo wa maisha.
13 Novemba, 2012
Tanzania Women of Action(Tawa) (Hananasifu Kinondoni) alisema:
Ndoa na mimba za utotoni umnyima fursa msichana kupata elimu ambayo humsababishia maisha ya kuwa mtumwa ,
13 Novemba, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.