TASCCO kwa kushirikiana na Chuo Cha Biashara CBE kilichopo jijini Mwanza kuandaa Tamasha la Michezo itakayo jumuisha michezo ifuatayo mpira wa miguu,mpira wa mikono,mpira wa kikapu,netball.Shindano hilo litakuwa na upinzani wa aina yake,kila timu inatarajia ushindi.Pia TASCCO itatoa waamuzi wa michezo yote wenye sifa zinazostahili katika mchezo husika.Shindano hilo litafanyika kuanzia tarehe 02.05.2011 na kuhitimishwa baada ya siku 8 kama ratiba ilivyopangwa.
2 Mei, 2011