Injira
Tanzania Livelihood Skills Development and Advocacy Foundation

Tanzania Livelihood Skills Development and Advocacy Foundation

Korogwe, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

 

 

 

TANZANIA LIVELIHOOD SKILLS DEVELOPMENT AND ADVOCACY FOUNDATION

(TALISDA-FOUNDATION)

 

 

Taasisi ya maendeleo ya Stadi za maisha na Utetezi imesajiliwa tangu mwaka 2007                 na nambari yake ya Usajilli ni NGO 1090                           .

 

Taasisi hii inatambuliwa kwenye Ofisi za wilaya hapa Korogwe kwa nambari                     ambapo inafanya shughuli zake kwa mujibu wa Katiba katika ngazi zote hadi vijijini katika kata mbalimbali na kule kwenye kata matawi ya Taasisi yanaitwa TALISDA-KATA. Kwa mfano TALISDA-Kata ya  Ngombezi nk.

 

Makao makuu ya TALISDA-FOUNDATION yapo Wilayani Korogwe katika kata ya Manundu mtaa wa Majengo.Hata hivyo shughuli za Taasisi hii ni kwa Tanzania Bara yote na kwamba hadi kufikia tarehe 30 March  2011 matawi mbalimbali yamekwisha anzishwa katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara kama anuani zinavyoonyesha hapo chini.

 

TALISDA MKOA

TALISDA WILAYA

TALISDA KATA

MAWASILIANO

 

 

 

Tanga

 

 

 

Korogwe

1.Kwamsisi

2.Kwamndolwa

3.Old Korogwe

4.Manundu

5.Mtonga

6.Magunga

7.Kilole

8.Ngombezi

9. Makuyuni

10.Mnyuzi

11.Lutindi

12. Kwagunda

 

 

 

Mkurugenzi Mtendaji

TALISDA FOUNDATION

Head Quarters Office

BOX 15,Korogwe

Email:talisda_foundation@yahoo.com

 

 

 

 

 

 

 

 

Arusha

 

 

Arumeru

 

1.Olasisti

2.Majengo

3.Kwamrombo

Programs Director

TALISDA FOUNDATION

Arusha Programs

Email: talisdaprograms_arusha@yahoo.com

 

 

 

 

 

 

 

 

Morogoro

 

Mvomero

 

1.Melera

2.Sabasaba

 

 

Programs Director

TALISDA FOUNDATION

Morogoro Programs

Email: talisdaprograms_morogoro@yahoo.com

 

 

Kilombero

1.Mang’ula

2.Kiberege

3. Mkamba.

 

 

 

 

MAONO NA DIRA KUU NI

MAISHA BORA KWA KILA YATIMA NA KWA KILA ANAYEISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

 

DHAMIRA YA TALISDA FOUNDATION NI –

Katika kufikia maono na dira na malengo ya hapo juu mkakati wetu ni ule wa  KUWAJASIRISHA YATIMA NA WOTE WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU ILI WAWEZE KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA (Empowering Orphans and Other Vulnerable Persons to cope with challenges in future).Ujasirishaji wetu unajikita katika mambo ya kiuchumi,kijamii na kisera  kwa mpangilio wa hapo chini:

 

(a)   Kuwafundisha walengwa elimu na mafunzo ya Ufundi ili waweze kujiajiri au kuajiriwa kwa urahisi mara wamalizapo mafunzo yao ya muda mfupi yenye tija :Mafunnzo hayo ni pamoja na yafuatayo:

 

 -Kilimo cha Uyoga

-Cherehani

-Udereva

-Utengenezaji nguo za batiki na tie and die

-Usindikaji wa Vyakula mfano matengenezo ya Koni ,chachandu nk )

-Mafunzo ya Computer na Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano

-Kilimo cha bustani na mbogamboga

-Kilimo cha Samaki kwenye mabwawa madogomadogo.

-Elimu ya Muziki wa Key board

-Upigaji picha za dijito na za Video

-Radio repair

-Utengenezaji wa tofari za kuchoma kwa urahisi na interlocking blocks

-Mafunzo ya Uhazili (Full Secretarial Course)

-Mafunzo ya Lugha za Kigeni ikiwemo lugha za alama kwa viziwi na wasioona

-Elimu ya malezi ya watoto shule ya Awali (Early Childhood Education)

-Elimu maalumu kwa walemavu (Special Education for Disabled Children)

-Mafunzo ya kuzuia majanga na namna ya Kuzima janga la moto 

-Tuition kwa wanafunzi na watahiniwa wa mitihani ya shule ya Msingi na Sekondari

 

 

 

 

 

 

(b) Kutoa Ushauri katika masuala ya

-Ujasiliamali na Elimu ya masoko

-Uandikaji wa randama za miradi

-Elimu na ushauri wa kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI

 

(c) Kufanya Ushawishi na Utetezi kufikia utekelezaji bora  wa sera zilizoridhiwa na Serikali, kuhusu:

-Haki za yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa njia ya  kushawishi jamii kuunda mifuko ya kata na Kamati za kata za kushughulikia maslahi ya wenye uhitaji mkubwa.

-Sera ya Ulinzi na haki za watoto

-Sera ya haki za walemavu

-Ushawishi na Utetezi kwa kinga ya majanga

-Uongozi bora

-Matumizi ya rasilimali ya Umma kwa faida ya Umma.

 

Ili kupata maelezo zaidi unashauriwa kufika Ofisi ya Makao makuu ya TALISDA FOUNDATION na utaweza kupata majarida yanayohusu mambo yafuatayo.

  • Vitini vya jinsi ya Kulima Uyoga
  • Vitini vya maswali na majibu kwa watahiniwa wa mitihani ya Shule ya Msingi na Sekondari
  • Vitini vya kujisomea mwenyewe jinsi ya kuongea Lugha za kigeni
  • Vitini vya mafunzo ya Computa ,Teknolojia Habari na Mawasiliano.
  • mahusiano na wadau
  • mafanikio yaliyofikiwa na TALISDA FOUNDATION tangu 2007-2009
  • mipango ya baadaye ya muda mrefu ya TALISDA FOUNDATION (mpango mkakati 2009-2012)

 

OMBI MAALUMU KWAKO WEWE MDAU WA MAENDELEO

 

TALISDA FOUNDATION inapenda kukushirikisha ili tuungane katika kusaidiana na Serikali na wadau wengine katika kuwasaidia Yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili maisha yao yaboreshwe.

 

Wewe Mdau unaweza kushiriki kwa kuchangia kwa njia mbalimbali kadiri utakavyoona inafaa na hivyo tafadhali jaza Fomu hii hapo chini ukionyesha namna unavyoweza kuchangia na kisha kabidhi mchango wako kwa :

 

MKURUGENZI MTENDAJI

TALISDA FOUNDATION

S.L.P.15, KOROGWE

Mobile phone:+255 713 951919, 0789 179275

Email:talisda_foundation@yahoo.com

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

TANZANIA LIVELIHOOD SKILLS DEVELOPMENT AND ADVOCACY FOUNDATION

(TALISDA-FOUNDATION)

 

 

FOMU MAALUMU KUCHANGIA MAENDELEO YA

SHUGHULI ZA TALISDA FOUNDATION

           

 

 

 

 

JINA LA MDAU

 

 

ANUANI NA MAWASILIANO MENGINEYO

AINA YA MICHANGO

Tasilimu kwa mara moja (Tshs)

Mara moja kwa kila mwaka (Tshs)

Mara moja kwa kila mwezi (Tshs)

Vifaa,Chakula ,mavazi nk.

HUU NI MFANO TU

 

Chikopangatumbala

 

 

Box 333,Korogwe

0713-555675

cnga@yahoo.com

 

 

1,200,000

 

 

2,000,000

 

 

300,000

Unga wa ngano,sukari,jora la mitumba,vitambaa vya mafunzo ya cherehani,mashine za welding,Basi la usafiri,mashine za maji ya umwagiliaji nk.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

25 Mata, 2011
Ahakurikira »

Ibitekerezo (3)

Chakubuta Nicolas (Kigoma) bavuzeko
Sina maoni yoyote isipokuwa ninahitaji kujua ni jinsi gani ninaweza kupata vitini kama hivyo mlivyotaja hapo juu na kwa gharama gani?
1 Mata, 2012
fatuma chambuso (zanzibar) bavuzeko
mimi ni mwanafunzi wa sheria katika chuo cha zanzibar nilikuwa naomba msaada wa vtabu na vitin kuhusiana na haki za watoto walemavu haswa katika elimu.je ntavipataje
14 Ugushyingo, 2012
Adolph Noya (via email) bavuzeko
habari!
Tunayo furaha kukujulisha kwamba maombi yako yametufikia na tumeyapokea, tunayafanyia kazi utajulishwa pindi itakapo kuwa tayari.
Ahsante na masomo mema!
14 Ugushyingo, 2012 (edited 14 Ugushyingo, 2012)

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.